Je, unaweza kuwa na Bank Account ya Tanzania ikatumika Ulaya kwenye kutoa na kuweka

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,542
Wadau,

Kuna ndugu yangu yuko europe.. anauliza kama inawezekana akafungua account bongo na hyo account akawa anaitumia.. yaan matumizi ya kutoa na kuweka

1. Kama anatumiwa pesa kutoka Tanzania

2. Kama amatuma pesa kutoka Europe

3 Kutumia card ya bank kutoa pesa na kuweka akiwa europe .

Kama kuna anaefaham hili anipe muongozo.
 
MasterCard, Visa cards n.k. zinafanya kazi kwenye ATM za nje kama kawaida
 
kila withdrawal itakuwa na bank charges, naona gharama zitakuwa kubwa sana.

Ni vyema akafungua huko akadeposit za huko na kama anataka kuhamisha atahamisha mara moja kila baada ya muda kuliko ni kwa matumizi ya kila siku.
 
Back
Top Bottom