JE unaweza kutumia computer bila RAM?

JE unaweza kutumia computer bila RAM?

Baraba

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
62
Reaction score
27
Kama RAM ya computer imekufa na una mpango wa kununua nyingine lakini si kwa sasa, Je kuna uwezekano wa kutumia computer bila kupata matatizo yoyote.

Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums mobile app
 
kama unaweza kuvaa chupi juu ya suruali basi na hicho kituko unachotaka kukifanya kitafanikiwa pia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
haiwezekani ila siku ikiwezekana itakuwa ni faraja kubwa sana kwa wapenda keyboard wote ulimwenguni

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
kama RAM ya computer imekufa na una mpango wa kununua nyingine lakini si kwa sasa, je kuna uwezekano wa kutumia computer bila kupata matatizo yoyote.

Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums mobile app
Hapana, itashindwa hata kuboot BIOS. Jaribu uone, feni zitalia high speed, screen itakuwa blank. Baada ya muda itazima. Random Access Memory ni must.

-callmeGhost
 
We ndugu unahitaji elimu juu ya masuala ya computer inaonekana hauijui kabisa mcheki huyu jamaa anathreads nyingi humu zinaweza kukusaidia

CC Chief-Mkwawa

Heavy Weight
 
kama RAM ya computer imekufa na una mpango wa kununua nyingine lakini si kwa sasa, je kuna uwezekano wa kutumia computer bila kupata matatizo yoyote.

Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums mobile app
Sina shaka kuwa hata hiyo RAM huijui mkuu, ila ulivyoiandika ni kama unajua matumizi yake...

Ukitaka kuingia ndani sharti kupitia mlangoni
 
mkuu huwezi tumia pc bila ram kwa sasa, ila si miaka mingi ram itapotea, itakuwa pc hazina ram.

kwa sasa tafuta tu 15,000 kanunue ram aggrey au machinga complex utapata ya 2GB.
 
mkuu huwezi tumia pc bila ram kwa sasa, ila si miaka mingi ram itapotea, itakuwa pc hazina ram.

kwa sasa tafuta tu 15,000 kanunue ram aggrey au machinga complex utapata ya 2GB.
Huko mbele komputa zitafanyaje kazi bila RAM?
 
Huko mbele komputa zitafanyaje kazi bila RAM?
kwa kutumia tu storage ya kawaida.

sasa hivi zote ram na HDD/SDD ni memory ila tunakuwa na memory nyingi kwenye computer moja sababu ya speed. mfano unakuta ram inapitisha gb 20 kwa sekunde wakati HDD inapitisha mb 40 kwa sekunde hivyo unakuta ram inakuwa mara 500 au zaidi na speed kubwa kuliko storage ya kawaida.

siku ikitokea ikatengenezwa HDD au SSD yenye speed kubwa kama ram ujue kutakuwa hakuna maana tena ya kuwa na ram.

moja kati ya technology ya karibuni ya storage ambayo inaleta matumaini ya hiki kitu kutokea ni storage ya intel na micron inaitwa 3D X-point optane memory

yenyewe ina speed kubwa na latency ndogo kushinda ssd ila haijaifikia ram

OptaneComparison-640x469.png

hizi optane kwa speed zinaenda hadi 2GBps, for reference galaxy s5 ram yake ni 7GBps, ni ddr3,

hivyo unaona ukaribu hapo wa kufikia speed za ram angalau hata ddr3 level ili kutokee kifaa chenye universal memory, hakuna dedicated memory ya kitu chochote unafanya tu partition mwenyewe.

mfano unanunua mashine ya 500GB memory unaamua mwenyewe labda gb 64 ziwe ram, 36 ziwe cache, 400 itumike kama storage etc.
 
Back
Top Bottom