Kama bado unamuhitaji mnacheki afyaaBinafsi siwezi kurudiana na ex wangu sababu ni udhaifu wa kiwango cha lami.Kuna watu unakuta waliachana na wapenzi wao kwa zaidi ya mwaka mmoja au miwili lakini mwishowe unakuja kusikia kwamba wamerudiana na wako pamoja tena kitu ambacho huwaga kinanishangaza sana.
Unakubali kurudiana na ex wako unajua kwa kipindi ambacho mmeachana na hamkuwa na mawasiliano ametembea na wanawake au wanaume wangapi ? Hili ni swali la msingi ambalo unapaswa kujiuliza kabla ya kuamua kurudiana na ex wako.
Mimi huwaga naona watu kama wanatafuta maradhi ya kujitakia sababu mtu hukuwa na mawasiliano nae kwa kipindi kirefu sasa unatoa wapi ujasiri wa kurudiana nae.
Hii kwenu imekaaje wadau ?
Mmmmh huku ndio stakagi kabisaHata kupasha kiporo tu..
Ya kale hayanukii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuu[emoji23][emoji23]
Mkuuu umesamehewa dhambi zako zote kwa post yako hii. Mbinguni straight.Kama watu wanaichagua CCM miaka na miaka. Kwa nini usimrudie ex wako ?
Kigezo hiki kitumike kama hapo awali ulimkuta bikra.😀Unakubali kurudiana na ex wako unajua kwa kipindi ambacho mmeachana na hamkuwa na mawasiliano ametembea na wanawake au wanaume wangapi ?
Umeandika vizuri ila tatizo huna mamlaka ya kuamua nani aende mbinguniMkuuu umesamehewa dhambi zako zote kwa post yako hii. Mbinguni straight.
kuachana na kurudiana na mtu si jambo la ajabu hata kidogo. Na bora huyo shetani unayemjua kuliko usiyemjua. Si wanasema zimwi likujualo...
Mimi kama ex wangu ambaye tulitofautiana lakini amegundua umuhimu wangu na ameona wapi arekebishe ili tusonge mbele, huyo kwangu ni mzuri kuliko mpya nisiyemjua lolote juu yake.
Wengi wanasema siwezi kurudi ili kufuata mkumbo pasipo kutambua huyo aliyeanzisha kusema 'siwezi kurudi' alikutana na yapi.
Hawa wanaoiga ni majivuno tu ya usoni ila wengi wao wanawamiss maex wao saaaaaana. Wanabembeleza wakikataliwa wanasema siwezi kurudi.
Na kabla hujaanzana naye kagongwa na wangapi?Binafsi siwezi kurudiana na ex wangu sababu ni udhaifu wa kiwango cha lami.Kuna watu unakuta waliachana na wapenzi wao kwa zaidi ya mwaka mmoja au miwili lakini mwishowe unakuja kusikia kwamba wamerudiana na wako pamoja tena kitu ambacho huwaga kinanishangaza sana.
Unakubali kurudiana na ex wako unajua kwa kipindi ambacho mmeachana na hamkuwa na mawasiliano ametembea na wanawake au wanaume wangapi ? Hili ni swali la msingi ambalo unapaswa kujiuliza kabla ya kuamua kurudiana na ex wako.
Mimi huwaga naona watu kama wanatafuta maradhi ya kujitakia sababu mtu hukuwa na mawasiliano nae kwa kipindi kirefu sasa unatoa wapi ujasiri wa kurudiana nae.
Hii kwenu imekaaje wadau ?
Binafsi siwezi kurudiana na ex wangu sababu ni udhaifu wa kiwango cha lami.Kuna watu unakuta waliachana na wapenzi wao kwa zaidi ya mwaka mmoja au miwili lakini mwishowe unakuja kusikia kwamba wamerudiana na wako pamoja tena kitu ambacho huwaga kinanishangaza sana.