Inawezekana kabisa kwa kutumia technique za mawimbi ya sauti ambayo wataalamu wanaita "binaural sound waves"; haya yana-"stimulate" pande zote mbili za ubongo kwa wakati mmoja, na mhusika anaanza kuota akijua kabisa kwamba anaota. Jaribu kutafuta "wake dreams" kwa maelezo zaidi.
Binafsi nimefanya majaribio. Inatisha kidogo mwanzoni baadaye unaweza kabisa kuwa na control ya ndoto zako.
Inawezekana kabisa na mara nyingi watu wengine huwa tunaota ndoto mchana kweupe.Cha msingi ule ndoto ni nn!...kuna mtu unaweza kumwona yupo amekodoa macho kumbe ndo anaota hivyo mawazo yanakuwa mbaliii na dunia yetu...day dreaming zipo sanaa tu
...unaweza ukaota umejenga anganiii....
yes inawezekana kabisa..Day dreaming. hii hasa inaweza kusababishwa na msongo wa mawazo, yaan kuwaza kupita kiasi akili inatoka kabisa kwenye mazingira halisi uliyopo na kwenda kwingine kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.