Mkuu, umemuoa Alice!? Au ndio yaliishia huko huko?Nikiwa chuo nilikua nanunua makoko ya 500 ambayo yalitosha kula mchana na jioni. Pesa ambayo ningeitumia kula ilikua namgea Alice.
Kwanini mkuu!? Au huitaji upendeleo wowote kutoka kwake!?
Binafsi si wezi
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni nadharia tu mkuu au falsafa za kiimani, Ila kiuhalisia kila MTU na mwili wake. Unahaki zako kwake Anahaki zake kwako, hongo nikwaajili ya kushawishi ufanyiwe upendeleo. Je, huna cha zaidi unachohitaji kwa mwenza wako?
Nyie ni mwili mmoja mtahonganje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si lazima pesa, vipo vingi vya kuhonga.
Sijawahi onga..pesa yangu tamu kwangu chungu kwa mwengine.
kakuachia appendex kwa kufakamia maukoko. Mabaharia sijui tunafeligi whereKwa sasa sijui. Alinitema hata kabla sijamaliza chuo
Sasa chief ningefanyaje? Mtoto anataka hela na hela uliyonayo inakutosha wewe tukakuachia appendex kwa kufakamia maukoko. Mabaharia sijui tunafeligi where