Je unaweza kukubali jambo ili ?

Tafuna tu mkuu mengine yatafahamika uko mbeleni
 
kisasi ni haki ya kila mtu
 
Na nikwambie huyo mdogo wake ndiyo kakusagia kunguni au kahusika kuvunjika mahusiano yenu apate chance hiyo.

[emoji16]ikiwezekana mimba itamfaa zaidi aende kudundana yeye na dada yake
 
Umeletewa nyapu ya bure una rembaremba, peleka moto jomba utajua ni sahihi au siyo sahihi akili ikishasahau pigo ulilopewa na dada yake
 
Tatizo moyo wako bado utakuwa bado upo kwa yule dada Yake aliyekuacha.Hata mdogo wake awe serious kiasi gani bado utaona hawezi kufit kwenye Viatu vya dada Yake.

Mapenzi jamani, unampenda hakupendi na anayekupenda humpendi 🤔
Yan hampendani tu😀😀
 
Umeletewa nyapu ya bure una rembaremba, peleka moto jomba utajua ni sahihi au siyo sahihi akili ikishasahau pigo ulilopewa na dada yake
Akitoka hapo ana supa Gono
 
Kula K tu ukipoza maumivu ukinogewa tangaza ndoa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka balaa yaani bila aibu unasema mmejaa mpo single wakati mnavizia nani mwenye pay.

Maneno ya vijiweni hayo wanawake hatufanani so kila mtu na demand yake so kuna wenye kigezo pesa na wenginee wanataka future hubby
 
Wewe sindiyo unae bembelezwa kule mrudiane na jamaa ..?

Wewe sio single ni divorced

[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nipo single mwaka wa 12 huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…