Nakubali tu mkuu, na hapo hapo namtia kuonesha nime mkubaliKuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine
Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako
Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?
kuna mwanamke single siku hizi ?Achana na hiyo familia watakuua
Kwanza hujampenda wa nini sasa
Mwambie tokaa shetani wanawake wapo wengi single
kuna mwanamke single siku hizi ?
aaab banaa haupo serious weyee.. single kabisaa mmh! hata siaminiTumejaa tele sema tunataka seriously love
BIG NOKuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine
Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako
Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?
Ili mjue tumefika na kuanza kujichetua mkifanya kituko cha kila aina, sasa hivi kuwa serious wewe ndiyo wanaume tutazingatia hayo mapenzi kidogo ila hakuoneshi yeyote kama anakupenda. Maana mkijua hilo mnavimba kichwa kama kobra anayeteka kutema sumuTumejaa tele sema tunataka seriously love
Mwanamke single ni concept tu!!Tumejaa tele sema tunataka seriously love
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunziKuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine
Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako
Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?
Tumia kanuni ya MAAAN, yaani Mpende Akupendae, Asiyekupenda Achana Nae.Tatizo moyo wako bado utakuwa bado upo kwa yule dada Yake aliyekuacha.Hata mdogo wake awe serious kiasi gani bado utaona hawezi kufit kwenye Viatu vya dada Yake.
Mapenzi jamani, unampenda hakupendi na anayekupenda humpendi π€
Akikujibu hili swali nistue.kuna mwanamke single siku hizi ?
π π π π π π nimecheka balaa yaani bila aibu unasema mmejaa mpo single wakati mnavizia nani mwenye pay.Tumejaa tele sema tunataka seriously love