Kwa nini Inbox mkuu? Mhhh. Huko sirini hatutapigika?Habarini..
Ikiwa wewe ni muhitimu wa kidato cha sita, diploma au degree na unamudu kufundisha basic mathematics O- level, Na hujaajiriwa...
Nitafute inbox
Ni mwalimu wa math anahitajika shule fulani. Ndio lengo kuuKwa nini Inbox mkuu? Mhhh. Huko sirini hatutapigika?
By the way, mimi najitolea kufundisha BURE lakini hapa hadharani au Jamvini i.e. kwa kutumia njia ya Mtandao.
Sihitaji malipo - nawapenda vijana wangu.