Je unaweka wapi mkono wakati umelala?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Naomba utuambie, je wakati ukiwa umelala unaweka mkono au mikono sehemu gani ya mwili wako?
 
Mimi nikiwa nimelala naweka mkono kichwani (nimeshika kichwa) au kwenye moyo.
 
Inategemea.
Ma-Single wana style zao na walio Pair wana style zao pia.
Wewe umelenga kundi gani?
 
Asilimia kubwa ya wanaume wakilala mchana utakuta mkono upo ndani ya bukta kashikilia urijali wake.
 
Huwa naweka kwenye kifua kama kuna joto kama kunabaridi inatupiwa katikati ya mapaja
 
Back
Top Bottom