Je, unawashauri nini Huawei baada ya kupigwa ban?

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
495
Habari Wadau wa Tech!
Kusema ukweli Kampuni ya simu na BAADHI ya vifaa vya kielectronics ya HUAWEI iko kwenye wakati MGUMU sana.

Nanukuu moja ya Technician wa HUAWEI baada ya kuulizwa mna malengo gani baada ya kupigwa Ban alisema
company told us: “Huawei has made substantial contributions to the development and growth of Android around the world.

As one of Android’s key global partners, we have worked closely with their open-source platform to develop an ecosystem that has benefited both users and the industry.

Hii ina maana gani hata android os ya Google jina na umaarufu wake umekuzwa kwa kiwango fulani na hii kampuni.

Ushauri wangu kwa HUAWEI
WAKISEMA WANATOA OS YAO AMBAYO WAMEIFANYIA KAZI KWA MIAKA SABA NDIO WAMEJIONDOA KWENYE SOKO KABISA.

Kwanini..
MICROSOFT ALINUNUA KAMPUNI YA NOKIA NA KUTENGENEZA OS YA LUMIA AKAFELI KWENYE SOKO.

ZTE VILEVILE
SECOND CHANCE BADO WANAYO YA KUONGEA NA TRUMP ILI KUFIX HII ISSUE YA SECURITY THREAT TO US ARMY.
WAKI CONFIRM KUWA DEVICE ZAO NI SALAMA NA KAMA KUNA MISTAKES WAREKEBISHE.

NAAMINI WATAFANIKIWA NA KUNUFAIKA ZAIDI..
 
SINA WASI TUNAKUJA NA MFUMO MPYA BILA KUTEGEMEA GOOGLE
Screenshot_20190521-062059.jpeg
 
TATIZO NI MDA TU, LAKINI PIA SISI WAAFRICA TUNAONA NI VIGUMU SANA NA UVIVU WAKATI ZINAPOTOKEA CHANGAMOTO, ILA WEZETU WAMESHAJIPANGA NA PLAN B KITAMBO, MDA TU UTAONGEA
Brother os ni rahisi mno kuitengeneza tatizo ni performance yake on apps hapa najua android amempiga bao sana kwa kuwa playstore ana TONNS OF APPS na games..
KINGINE hawezi kutegemea soc za wenzake itamuhitaji kutengeneza soc mpya
Let see it ila ni kama kuanzisha kampuni upya
 
May be they have big plan so let wait and see and itakua poa endapo watacheck challenges zilizo muangushaa LUMIA (MICROSOFT) wazi solve huenda wakafanya jambo zuri zaidi
 
TATIZO NI MDA TU, LAKINI PIA SISI WAAFRICA TUNAONA NI VIGUMU SANA NA UVIVU WAKATI ZINAPOTOKEA CHANGAMOTO, ILA WEZETU WAMESHAJIPANGA NA PLAN B KITAMBO, MDA TU UTAONGEA

Mkuu technology inaenda mbele huawei akiachana na android basi atapotea sokon angalia window mobile ndo wa kwanza ila amefeli akarudi na lumia for smart watu awajaelewa kabs amekuja juu sana android na imeanza kushare baadhi ya vitu very closely na iosx na ndo inamtoa jasho sana apple kila kukicha alafu soko alisubiri os testing soko linaitaji kutumia kwa wakati uliopo so uwekezaji wa huawei ni mkubwa wakibadili os watashindwa kulipa mishahara mgogoro utaamia ndani then mmarekan ananunua kiwanda then anafungua mashine anajenga vyumba vya kupanga
 
Brother os ni rahisi mno kuitengeneza tatizo ni performance yake on apps hapa najua android amempiga bao sana kwa kuwa playstore ana TONNS OF APPS na games..
KINGINE hawezi kutegemea soc za wenzake itamuhitaji kutengeneza soc mpya
Let see it ila ni kama kuanzisha kampuni upya
Anayo kitambo sana,,,,Inaitwa HiliScon Kirin.. Na OS yake inaitwa HongMeng...
 
Huawei wakitumia os mpya watakua wameingiza bidhaa mpya sokoni yenye tofauti na ile Wateja wake waliyozoea, advantage ni kwamba wanaweza kuipenyeza kwasababu tayari wana market share kubwa.....hapa huawei inabidi afanye product development kubwa mno ili bidhaa zake zipate cost advantage kwa kuwa na bei rahusi na ziwe na differentiation advantage kwa kupilia msumari feautures ambazo watu wengi wanazipenda
 
Waachane na mobile phone division. Wawauzie Samsung.

Wabaki na Enteprise.
 
TATIZO NI MDA TU, LAKINI PIA SISI WAAFRICA TUNAONA NI VIGUMU SANA NA UVIVU WAKATI ZINAPOTOKEA CHANGAMOTO, ILA WEZETU WAMESHAJIPANGA NA PLAN B KITAMBO, MDA TU UTAONGEA
Muda uliongea kwa Nokia, Blackberry n.k.

Wangeshatengeneza OS yao toka wakati huo, kwanini wamekwama??
 
Unaweza kufanya vyote ila kwenye kitu kinaitwa playstore si kazi ndogo aisee labda aangalie kilichomkuta Nokia ajifunze kupitia yeye hapo atatusua.
 
Hiki kilichowatokea huawei ni sawa na wanariadha mko mbio za metre 100, mmeshakolea kwenye metre 40 anapigwa ngwara anaanguka, eti aamke aanze kwa kuruka kichura.
 
Katika kupita pita nimeona mahala kuwa wameanzisha "app gallery" equivalent to play store. Changamoto ni kwamba je wataweza kuwashawishi ma developer wakubwa kutengeneza version mbili mbili na kuzisimamia?
 
Os yao inatumia android apps, hivyo wata submit zile zile.

Changamoto ni app za kimarekani ambazo nyingi zinataka play service.

Sema kwa asia na Africa si tatizo sana.
 
Kwa sasa masoko ya Apps yapo mengi tuu na huru na yana Apps mpak.Nyingine hauzipati playstore.

Kikubwa ni watu kuyapokea hayo mbadiliko coz kuna uwezekano OS ikawa nyingine ila UI ikawa kama ya android tuu na akatusua, huku kwetu wachache wanaojua hii ni android gani ili mradi simu inapiga self na kutuma picha.

Ukija google na bidha zake tutazitumi kwa browser tuu sio lazima tuinstall Apps zao.

Labda kama kuna sheria inayomkataza kutumia website za watu jwa simu yake bila hivyo maisha marisi.Sana siku hizi.Ndio maana wajanja wanakagua kwanza hardware kabla ya software maan unaweza kutindua ukaweka.Uitakayo kama hardware zinaruhusu.

Unaweza kufanya vyote ila kwenye kitu kinaitwa playstore si kazi ndogo aisee labda aangalie kilichomkuta Nokia ajifunze kupitia yeye hapo atatusua.
 
Kwa sasa masoko ya Apps yapo mengi tuu na huru na yana Apps mpak.Nyingine hauzipati playstore.
Kikubwa ni watu kuyapokea hayo mbadiliko coz kuna uwezekano OS ikawa nyingine ila UI ikawa kama ya android tuu na akatusua, huku kwetu wachache wanaojua hii ni android gani ili mradi simu inapiga self na kutuma picha.
Ukija google na bidha zake tutazitumi kwa browser tuu sio lazima tuinstall Apps zao.
Labda kama kuna sheria inayomkataza kutumia website za watu jwa simu yake bila hivyo maisha marisi.Sana siku hizi.Ndio maana wajanja wanakagua kwanza hardware kabla ya software maan unaweza kutindua ukaweka.Uitakayo kama hardware zinaruhusu.
👏👏👏👏👏
 
Mimi nawashauri tuu wa release OS yao ya HongMeng, lakini USA ndo watapoteza kwa sababu wana alert kampuni zote za simu kuwa wa develop os zao na kuachana na android na ecosystem nzima ya google kitu ambacho ni hatari kwao.
 
Tofautisha makampuni ya china na marekani mkuu, kama wamesema WAMESHAJIPANGA tokea miaka miwili nyuma coz walijua itatokea hivyo basi tutegemee tofauti
Muda uliongea kwa Nokia, Blackberry n.k.

Wangeshatengeneza OS yao toka wakati huo, kwanini wamekwama??
 
Back
Top Bottom