Chanzo cha tatizo: Prompt haikuwa tight enough kuwezesha AI kuja na ramani kamili ya kueleweka kwa jinsi ya uhitaji.Changamoto.....kuna siku niliipa kazi ya kunichorea ramani haikufanikiwa, sasa sijajua kama kuna app maalumu kwa ajili hyo
[Kinachofuata] hakiki prompt iliyokupatia iwapo ina makosa. , Anza thread/chat mpya na kisha anza na ile prompt uliyotengenezewa na Ai.
- Tumia muda mwingi wa kujiuliza nini hasa unataka (matokeo), kwenye hiyo kjazi husika, Andika kwa mtindo wa bullets points
- Kisha Iambie AI ikutengenezee prompt
- Kuna vijimaneno inatakiwa uambatanishe mfano: Anza hivi kwa kutumia kanuni za Prompt engineering / Context engineering borehsa hii prompt yangu.
Asante sana Mwalimu;Chanzo cha tatizo: Prompt haikuwa tight enough kuwezesha AI kuja na ramani kamili ya kueleweka kwa jinsi ya uhitaji.
[Nini cha kufanya]
[Kinachofuata] hakiki prompt iliyokupatia iwapo ina makosa. , Anza thread/chat mpya na kisha anza na ile prompt uliyotengenezewa na Ai.
[Matokeo]
- Utapata response iliyo bora zaidi kuliko matarajio yako.
Sasa unatakiwa utumie kufanya nini?Hivi sio kosa kutumia kibiashara maudhui uliyoyatengeneza kwa AI? Mfano nyimbo, machapisho, ramani etc
Na hili hapa na Jibu la AI kwa swali lakoHivi sio kosa kutumia kibiashara maudhui uliyoyatengeneza kwa AI? Mfano nyimbo, machapisho, ramani etc
Ewaaaa hiki cha haki miliki ndicho nilichokuwa nakitaka.Na hili hapa na Jibu la AI kwa swali lako
Kisheria na kimaadili, sio kosa kutumia maudhui uliyotengeneza kwa AI kwa ajili ya biashara, lakini kuna mambo machache ya kuzingatia:
Kwa kifupi, tumia AI kuboresha na kurahisisha kazi zako za kibiashara, ila hakikisha unakagua (validation) matokeo kabla ya kuyatoa sokoni!
- Haki miliki (Copyright): Sheria za nchi nyingi (na masharti ya zana nyingi za AI) zinasema kuwa maudhui yaliyotengenezwa na AI 100% bila ubinadamu mara nyingi hayana haki miliki ya kipekee. Hii ina maana mtu mwingine anaweza kuyachukua na kuyatumia pia.
- Masharti ya Zana (Terms of Service): Zana nyingi za kulipia (kama ChatGPT Plus, Midjourney, n.k.) zinakupa haki zote za kibiashara (commercial rights) za kile unachokitengeneza. Ila kwa akaunti za bure, inabidi usome masharti yao kwanza.
- Kuongeza Mchango wa Kibinadamu (Human Touch): Njia bora zaidi ni kutumia AI kama msingi (draft/skeleton), kisha unafanya marekebisho na kuweka ubunifu wako binafsi. Hii inakusaidia kupata haki miliki kamili na pia kuhakikisha kazi yako ina ubora na upekee wa kibiashara.