Je unataka kujua akupendae

Je unataka kujua akupendae

Kuna watu wanatakiwa kupelekwa Milembe kwa lazima-Mengi.
 
Dishi brother/sister litakua limeyumba kidogo wa taalamu wa IT watoe msaada fasta
 
Huh! kazi ipo kweli, hi division 8 facebuku inasemaje??
 
msimlaum wajameni kanyeshewa na mvua huyu then anaishi single
 
Tumia unga wa Dona badala ya sembe,ni tiba nzuri kwa watu wenye akili kama zako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom