Je unataka kujua akupendae

Je unataka kujua akupendae

Serikali9

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
94
Reaction score
108
Fanya hivi andika jina lolote la jinsia tofauti na yako kisha tulia atakae kupm ndie akupendae. kazi kwako
 
We jamaa mzima kweli wewe!??:bored::noidea::faint2:
 
HahAhahaaaa kuwe na jukwaa la under 18 humu........
Form two walishafanya mtihani wako home....
 
HahAhahaaaa kuwe na jukwaa la under 18 humu........
Form two walishafanya mtihani wako home....

hata Mulugo product a.k.a form four watarajiwa wengine wa divisheni five washamaliza wapo tu mtaani!!!
 
mie sijaelewa au kwa kuwa mie division 5?aliyeelewa anifafanulie
 
hata Mulugo product a.k.a form four watarajiwa wengine wa divisheni five washamaliza wapo tu mtaani!!!

Umeona eeeh....tabu tupu....
Huu mchezo huwa wanaufanya huko fb wenzie wa kuongeza marafiki....
 
Back
Top Bottom