Je! unataka kujifunza 3d animation & cg?

Je! unataka kujifunza 3d animation & cg?

Mkuu u seem to have some knowledge in the field, but uliposema kuwa 3ds max nikupoteza muda, hapo ndo nilipoona umekosea kabisa, na "intensive research " yako bado sio intensive, unaonekana kukariri jinsi mambo yanavyokwenda, nimetumia Maya for most of the year 2013 ndo nikaproduce the " CG Jet Bombing" video, ukichek movie kama 2012 most of the destructions zilifanyika kwa kutumia 3ds max. Anyways, kuhusu hyo kurukia rukia software, incase you don't know ni vizuri kujaribu jaribu tools uone kama kuna ambayo itakurahisishia mambo, don't be a software fanboy. Kila package inafaida yake kwasababu kupata yenye features zote Na interface nzuri ni ishu, ndo maana Maya inatamba sana kwasababu ya animation features zake, Nuke kwa system yake ya node based compositing, AE kwa layer based compositing, cinema4D kwa motion graphics features zake, 3ds Max kwa kuwa na a vast community of plugins na kufanyia heavy simulations... So usikariri kuwa Maya, Nuke, na AE ndo kila kitu. Maya ni nzuri sema ndo ambayo inaongoza kwa kuwa na user interfance mbaya ( kama ukibisha hili basi hujatumia Maya ) na ndo kitu ambacho kinasumbua wengi wanaotaka kujifunza maya, interface haina mpangilio ambao ni user friendly, there is no a complete package. Nuke yenyewe ni a very powerful compositing package, lakini kuna very useful formats bado haisupport mfano ".rpf" i know this kwasababu nimeitumia Nuke...

umejibu kitaalamu mdogo wangu hongera sana.ni bahati mbaya sana natumia "kamchina" ,hata kitufe cha LIKE sikioni.otherwise i would have hit it the first moment i read this post.kudos.
 
Hiyo link mbona ni image captures tu? nilitegeema kuona Demoreel, kuona Live scene-3D integration, kuona shots. Coz 3D graphics mtu yeyote anaweza hata kwa Cinema 4D au AE. Demo yangu hii hapa, kwa kiwango changu: https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860
Nelson Richard lengo la hii thread ni kujadili wazo la wickerman, lakini kwa sababu na wewe unajuajua kidogo haya mambo naona unatia ngumu. Ingekuwa vizuri kama tungejadili title ya thread kuliko kuanza kufanya criticism na maonesho. Kila mtu akianza akianza kuonesha kazi zake za 3d hapatatosha hapa.

Kwa wale wanaotaka kwa hamu kujifunza 3d animation na CGi kwa ujumla, nikitengeneza tutorial DVDs kwa lugha ya kiswahili, mko tayar kulipia ( maana wabongo tunapenda vya bure ) and what do you think should be the price range,?... Nasikiliza maoni yenu.

Personally niko fresh kwenye hayo mambo unaweza ukachek some of my works hapa
Kaka mimi nakuunga mkono. Ila jipange vizuri kuhakikisha mambo yanaenda sawa.
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma mkuu, lkn either ni kwasababu sikutaja ni kwann ile package ndio roho ya Hollywood mpaka Yesu anarudi. Ni hivi: sidhani kama unajifunza tu ili mradi, unajifunza ili ije iwe ajira, profession. Kikubwa utaanza na ajira maana kupata capital ya kuafford renderfarm kwaajili ya action movie au cgi movie ni ishu ingine. Kwahiyo nicacomment nikilenga soko la jira, kampuni za visual effects (nje ya africa, maana huko ndo soko liko) zinazohitaji watu kama nyinyi zinataka nini? ukijibu hapo ndo utaelewa nilichosema. These all companies have one thing n common: 1-better know one thing and do it better, so invest time in it. and what's that one thing? ONE OF THEIR CHOICE...and that is Maya (MODELLING AND ANIMATION), Nuke (COMPOSITING), zBrush(TEXTURING) na AE(PREVIEWING things like color etc)
 
Nelson,the softwares used inategemea na pipeline ya company husika, a place kama ILM they are actually using Mari for texturing pia Walitumia 3ds max kwenye transformers age of extinction, unajua unapo kuja kwenye swala la tech na sciences usiseme kuwa mpaka yesu anarudi kwamba hii ndo final, sio kwel kwasababu tech inachange fast, vfx artists wengi ninaowasiliana nao mbona hata hawatumii maya, wengi wanatumia Max na fusion au AE, sielewi kwann unaiweka hyo package kama ndo formula. kwenye movie kama avatar, mbona hawa kukimbilia kwenye Maya kwenda kuanza kufanya modelling ya ile miti, walianza kutafuta package nzuri zaidi, mpaka wakapata SpeedTree. Zbrush inatumika sana for Sculpting na sio texturing, although it does do texturing. Anyways mimi sitaendelea kubishana na ww, maana dhumuni la thread limeshapotea... Ila tu ushauri mdogo, anza upya kufanya research yako... It needs polishing.
 
mkuu ingekua vizuri kutupa manufaa ya kujifunza hiyo course yako kwanza maana wengine wageni kabisa katika ulimwengu huo. kwa mfano mimi mwalimu itanisaidiaje
 
Back
Top Bottom