Je! unataka kujifunza 3d animation & cg?

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
252
Kwa wale wanaotaka kwa hamu kujifunza 3d animation na CGi kwa ujumla, nikitengeneza tutorial DVDs kwa lugha ya kiswahili, mko tayar kulipia ( maana wabongo tunapenda vya bure ) and what do you think should be the price range,?... Nasikiliza maoni yenu.

Personally niko fresh kwenye hayo mambo unaweza ukachek some of my works hapa

Here are some woks that i have done:
[video=youtube_share;l0pgIJ7D91 M]http://youtu.be/l0pgIJ7D91M[/video]
[video=youtube_share;FHxCTQNiKKQ]http://youtu.be/FHxCTQNiKKQ[/video]
[video=youtube_share;JhQ_NPhzqiI]http://youtu.be/JhQ_NPhzqiI[/video]
Those are some of my works pia unaweza ukachek baadhi hapa ...

Mbona hatujaona kazi zako hata kwenye Bongo movie zetu angalau kubadilisha ladha?? we utakuwa wale wale tu.
 
Just because hujaona kazi ya mtu bongo movie haimanishi ndo hajui... Nimeweka link hapo kwenye post go check it out and see for yourself
 
Hiyo link mbona ni image captures tu? nilitegeema kuona Demoreel, kuona Live scene-3D integration, kuona shots. Coz 3D graphics mtu yeyote anaweza hata kwa Cinema 4D au AE. Demo yangu hii hapa, kwa kiwango changu: https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860
 
Mimi nimekutana na hiki........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    127.6 KB · Views: 243
Hiyo link mbona ni image captures tu? nilitegeema kuona Demoreel, kuona Live scene-3D integration, kuona shots. Coz 3D graphics mtu yeyote anaweza hata kwa Cinema 4D au AE. Demo yangu hii hapa, kwa kiwango changu: https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860
Nelson Richard AKA Michael Ngusa

Mimi nimekutana na hiki........

, nimeupdate hyo thread so check it out, nimeweka pia a link to behance for progressive shots.

Mimi nimekutana na hiki........
Preta, check the videos nimeweka kwenye thread
 
Last edited by a moderator:
Brother wickerman, xup!! If you ask me, i think u should just put some time na ufanye regardless what people say!
kuna this animator ambae i learn from, he just makes awesome contents, Books, reference files, plugins na stuff like dat
bac 2, most contents ni free ila books na reference packs anaziuza he just posts em so atakaenununua ananunua, pia anaongeza hio kwene list of things he's achieved! I think kama una time jus go HAM and do it!
 
Nadhani utakuwa unamwongelea Andrew Kramer? packs zake ninzao zoote, yaani kila kitu chaje kudadeki.
 
Nimeona, and if everything is from scratch basi kibongo bongo you rock! ingawa kwa upande wa Autodesk Maya bado unayo safari. Ningekushauri u stick na package moja tu kuliko kudandia kila kinachokuja k.v. MODO, Mari nk. (niliona kwenye FB yako). According to my intensive research, hakuna product itakuja kuzimisha moto wa hii package: Maya, Nuke, zBrush na AE (pamoja na plugins zake of all time). Vitu kama 3DS Max, Fusion ni kupoteza muda.
 
rafiki yangu wickerman,nakushauri tu kiroho safi uachane na kuwafurahisha wabongo.hizo tutorial za kiswahili unazopanga kuzifanya hazitakusaidia kitu,wekeza mda wako ktk kufanya mazoezi ili uboreshe kipawa chako,ji-markert na mwisho wa siku ukitumie kukuingizia mkwanja.wabongo watakuvunja moyo,watakudharau na mwisho wa siku watakuchukulia kawaida.wengi hujifanya wajuaji wakati hawajui.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimeziona zimesimama! Mi Nina interest ya kujifunza hivi vitu je? Ninaanzaje anzaje kwa sasa sins basic yoyote ya graphics design
 
rafiki yangu wickerman,nakushauri tu kiroho safi uachane na kuwafurahisha wabongo.hizo tutorial za kiswahili unazopanga kuzifanya hazitakusaidia kitu,wekeza mda wako ktk kufanya mazoezi ili uboreshe kipawa chako,ji-markert na mwisho wa siku ukitumie kukuingizia mkwanja.wabongo watakuvunja moyo,watakudharau na mwisho wa siku watakuchukulia kawaida.wengi hujifanya wajuaji wakati hawajui.

usimkatishe tamaa wapo wabongo ambao wapo serious
 
Last edited by a moderator:
usimkatishe tamaa wapo wabongo ambao wapo serious
Am joining you jamani yaani hakuna kitu inayoniumiza kichwa kama hiyo sababu natamani sana kuja kuwa na ofisi ya videos production u photographer upo damuni yaani nimeziona hizo graphics za jamaa hadi nimefurahi
 
Nimeona, and if everything is from scratch basi kibongo bongo you rock! ingawa kwa upande wa Autodesk Maya bado unayo safari. Ningekushauri u stick na package moja tu kuliko kudandia kila kinachokuja k.v. MODO, Mari nk. (niliona kwenye FB yako). According to my intensive research, hakuna product itakuja kuzimisha moto wa hii package: Maya, Nuke, zBrush na AE (pamoja na plugins zake of all time). Vitu kama 3DS Max, Fusion ni kupoteza muda.
Heshima kwako mkuu nimekubali
 
bado sana kufikia hatua ya kutoa dvd,tengeneza short stories atleast 5min to 15 min zenye kuleta maana..na siyo kuonyesha uwezo wa kutumia tools.
 
Nimeona, and if everything is from scratch basi kibongo bongo you rock! ingawa kwa upande wa Autodesk Maya bado unayo safari. Ningekushauri u stick na package moja tu kuliko kudandia kila kinachokuja k.v. MODO, Mari nk. (niliona kwenye FB yako). According to my intensive research, hakuna product itakuja kuzimisha moto wa hii package: Maya, Nuke, zBrush na AE (pamoja na plugins zake of all time). Vitu kama 3DS Max, Fusion ni kupoteza muda.
Mkuu u seem to have some knowledge in the field, but uliposema kuwa 3ds max nikupoteza muda, hapo ndo nilipoona umekosea kabisa, na "intensive research " yako bado sio intensive, unaonekana kukariri jinsi mambo yanavyokwenda, nimetumia Maya for most of the year 2013 ndo nikaproduce the " CG Jet Bombing" video, ukichek movie kama 2012 most of the destructions zilifanyika kwa kutumia 3ds max. Anyways, kuhusu hyo kurukia rukia software, incase you don't know ni vizuri kujaribu jaribu tools uone kama kuna ambayo itakurahisishia mambo, don't be a software fanboy. Kila package inafaida yake kwasababu kupata yenye features zote Na interface nzuri ni ishu, ndo maana Maya inatamba sana kwasababu ya animation features zake, Nuke kwa system yake ya node based compositing, AE kwa layer based compositing, cinema4D kwa motion graphics features zake, 3ds Max kwa kuwa na a vast community of plugins na kufanyia heavy simulations... So usikariri kuwa Maya, Nuke, na AE ndo kila kitu. Maya ni nzuri sema ndo ambayo inaongoza kwa kuwa na user interfance mbaya ( kama ukibisha hili basi hujatumia Maya ) na ndo kitu ambacho kinasumbua wengi wanaotaka kujifunza maya, interface haina mpangilio ambao ni user friendly, there is no a complete package. Nuke yenyewe ni a very powerful compositing package, lakini kuna very useful formats bado haisupport mfano ".rpf" i know this kwasababu nimeitumia Nuke...
 
rafiki yangu wickerman,nakushauri tu kiroho safi uachane na kuwafurahisha wabongo.hizo tutorial za kiswahili unazopanga kuzifanya hazitakusaidia kitu,wekeza mda wako ktk kufanya mazoezi ili uboreshe kipawa chako,ji-markert na mwisho wa siku ukitumie kukuingizia mkwanja.wabongo watakuvunja moyo,watakudharau na mwisho wa siku watakuchukulia kawaida.wengi hujifanya wajuaji wakati hawajui.

yeah, you are right man, watanzania tuna matatizo (seriously speaking), Kuna siku nilifanya some CG explosions na nn, nilivyopost ile video, kuna mbongo akasema "hakuna kitu umefanya hapo, ni hyo stock footage tu basi", moja kwa moja nikajua anadhania ni kitu kama action essentials ya andrew kramer, but he was wrong, i think we should change. Na hii kila mtu kujifanya anajua ndo maana hata ushirikiano na mutual support hakuna, we should learn ku appreciate kazi za wabongo wenzetu hata kama ww unajua sana, my dreams at first ilikua ni kuimprove the entertainment industry hapa bongo but kwakwel that has changed, i have much bigger goals now, sielekez tena my efforts with bongo in mind, but ikija work nitafanya, i'm aiming higher ili hata kama sitofika nitaangukia mbele zaidi... Kuhusu the DVD, i've kept that on hold kwass, kwasababu ya muamko wenyewe sio mkubwa sana kama nilivyodhania, na pia kwass inabidi ni focus sana kwenye masomo yangu (PCM), baada ya kumaliza form 6, then i'll have time ya kutosha.

PS: nilikua naangalia a video leo asubuhi and hii graph inaelezea vizur kabisa situation ya wabongo kwenye hizi ishu
image.jpg
 
Back
Top Bottom