Je,unataka gari ya bei ya Rahisi?,pitia hapa!

Je,unataka gari ya bei ya Rahisi?,pitia hapa!

Mkuu nahitaji Gari hizi;
Toyota Runx ,Passo na Funcargo
Haraka iwezekanavyo Mkuu...Mimi Siogopi kuzulumiwa Hata Hela naweza kukutumia Ukinipa Account yako..Hela yote.Siitaji Kukujua Mkuu...
Au Nikutumie??Au Unaogopa Pesa Za Motto??
Mi nataka nikutumie Usipoleta gari Utajua mwenyewe Ila mi nakuwa nimeshakutumia Hela...
Ha haaaa harudi tena hapaaa
 
aaah aaah huu uzi nimecheka saana.. JF kuna critics wengi saana usipojipanga kwa thread yako utabananishwa saaana aisee... watu wanapenda saana inbox.... hii ni social bhaana
[emoji5] [emoji5] [emoji3]
 
Hapana mkuu,hiyo ni bei ya gari huko Japan ambayo ni Dola 500 hapo sijajumilisha na gharama zingine za usafirishaji na kodi inaweza kufika hata 5mil.mpaka uishike mkononi!
Hiyo milioni tano ni CIF bado kodi hapo acha kuwavuta watu kwa chambo ili uwavue
 
Uzi ungenoga zaidi kama mngejitamburisha nyie as in profile full.....maana kuna wengine hawaja log in so hawawezi hata kuja inbox but atleast wakiwaelewa nyie basi watadukua hata namba ya simu au mail tu.
 
Sina Tabia hiyo na wala sina mpango wa kumtapeli mtu,nimesema aliyeserious aje nimpe utaratibu wa kiofisi!
Kwanini utaratibu uutoe kwa mtu mmoja kama lengo lako lilikua kuwafikia watumiaji wa jamii forum. Je isingependeza kama ungeweza utaratibu hapa ili kila atakayepitia huu uzi auone.


Unaleta mashaka na taratibu za Kampuni yako. Kwanza Kampuni inaitwaje tuicheki Brela
 
Nyie ni akina nani? Kampuni yenu inaitwaje? Mna Website ili wateja tuone baadhi ya magari mnayowaleta?
Taratibu mkuu mbona unataka kuharibu kazi za watu?huoni biashara yenyewe inatakiwa mkutane inbox!
 
Gari inayouzwa dola 500 Japan, ambayo ni sawa na Mil moja ya hapa hadi isafilishwe hadi hapa itakuwa ni kama dola 2000 na ushee, hiyo ndo CIF hizo ni kama 4.5mil sasa songombingo za TRA na the same amount 4.5mi kwahiyo the cheapest car ever ya kuagiza ambayo ipo fit ni kati ya sh 8mil had 9 .kwahiyo Gari ya Mil moja hakunaga. Hata ukipewa Gari bure Japan bado 6 to 7 Mil itakutoka
Thanks sana kaka
 
Duh!kama gari imefikia hiyo bei hata mimi nanunua.
Nina mashaka na wewe mkuu.
Weka picha na detail za ofisi yenu ili tukuamini.
Hela ngumu asa hivi tupo makini na wajanja wajanja.
 
duuh gari inaanza millioni moja .? hiyo itakua toroli sio gari tena
 
Upo sahihi mkuu,lakini mmi sikumanisha million moja ndio nimejumlisha na kila kitu hiyo ni bei ya gari tu huko Japan bado malipo mengine ya ziada!
Acha utapeli wewe,mwanzo umeandika jipatie gari kuanzia ml.1
 
Na kwanini unang'ang'ania mtu akucheki inbox??

Siku zote hakuna biashara ya vificho duniani kote. ..other wise ni illegal...

Kama ni kweli weka kila kitu hadharani eti ooh njoo pm..

P.u. m.b.a.vu kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom