.Habari,wakuu kama kuna mtu anataka gari nzuri,kwa bei nafuu!ani pm gari zipo kuanzia milioni moja na kuendelea tunakuagizia kutoka Japan baada ya mda mfupi tu utapata gari yako!.
Kwahiyo mtu akisha ku PM huko pm ndio kuna ofisi au? unakwepa kulipa kodi ndiomaana unataka ufwatwe pmSina Tabia hiyo na wala sina mpango wa kumtapeli mtu,nimesema aliyeserious aje nimpe utaratibu wa kiofisi!
maelezo yako yako nusu nusu yaelekea umekurupuka biashara ya magari inahitaji watu makiniNadhani unataka KUWAKAANGA WATU TUU ungekuwa mkweli ungeweka bei kabisa sasa mpaka akubox utata mtupu huo.
Kuwa makini mkaka usije ukarudi unalia
Habari,wakuu kama kuna mtu anataka gari nzuri,kwa bei nafuu!ani pm gari zipo kuanzia milioni moja na kuendelea tunakuagizia kutoka Japan baada ya mda mfupi tu utapata gari yako!.
Hapana... Ziko gari mpya aina ya fekon na sun lg, dukani 1.5m.Muwe makini sasa hivi utapeli upo kila kona. Gari la 1m au mkokoteni.....
Hahahahahahahahahahaha........Hapana... Ziko gari mpya aina ya fekon na sun lg, dukani 1.5m.
Used unapata mpaka kwa laki sita.
Naona mnasadiana hapa "WAJINGA NDIO WALIWAO" @FaizafoxGari inayouzwa dola 500 Japan, ambayo ni sawa na Mil moja ya hapa hadi isafilishwe hadi hapa itakuwa ni kama dola 2000 na ushee, hiyo ndo CIF hizo ni kama 4.5mil sasa songombingo za TRA na the same amount 4.5mi kwahiyo the cheapest car ever ya kuagiza ambayo ipo fit ni kati ya sh 8mil had 9 .kwahiyo Gari ya Mil moja hakunaga. Hata ukipewa Gari bure Japan bado 6 to 7 Mil itakutoka