Je,unataka gari ya bei ya Rahisi?,pitia hapa!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari,wakuu kama kuna mtu anataka gari nzuri,kwa bei nafuu!ani pm gari zipo kuanzia milioni moja na kuendelea tunakuagizia kutoka Japan baada ya mda mfupi tu utapata gari yako!.
 
Nataka toyota IST ya mwaka 2008. How much will it cost mpaka nimeishika mkononi?
 
Mkuu nicheki inbox tupeane Maelekezo kwa ukaribu zaidi,ili ujue itakugharimu sh.ngapi?
 
Habari,wakuu kama kuna mtu anataka gari nzuri,kwa bei nafuu!ani pm gari zipo kuanzia milioni moja na kuendelea tunakuagizia kutoka Japan baada ya mda mfupi tu utapata gari yako!.

Mkuu nahitaji Gari hizi;
Toyota Runx ,Passo na Funcargo
Haraka iwezekanavyo Mkuu...Mimi Siogopi kuzulumiwa Hata Hela naweza kukutumia Ukinipa Account yako..Hela yote.Siitaji Kukujua Mkuu...
Au Nikutumie??Au Unaogopa Pesa Za Motto??
Mi nataka nikutumie Usipoleta gari Utajua mwenyewe Ila mi nakuwa nimeshakutumia Hela...
 
Gari inayouzwa dola 500 Japan, ambayo ni sawa na Mil moja ya hapa hadi isafilishwe hadi hapa itakuwa ni kama dola 2000 na ushee, hiyo ndo CIF hizo ni kama 4.5mil sasa songombingo za TRA na the same amount 4.5mi kwahiyo the cheapest car ever ya kuagiza ambayo ipo fit ni kati ya sh 8mil had 9 .kwahiyo Gari ya Mil moja hakunaga. Hata ukipewa Gari bure Japan bado 6 to 7 Mil itakutoka
 
Muwe makini sasa hivi utapeli upo kila kona. Gari la 1m au mkokoteni.....
Hakuna utapeli mkuu,nani atakutapeli na wakati hii ni kampuni taratibu zote za kisheria zinafuatwa!
 
Vitu vinavyoambatana na usiri, vinagubikwa na utapeli sana.

Hizi zako ni dalili za utapeli
Sina Tabia hiyo na wala sina mpango wa kumtapeli mtu,nimesema aliyeserious aje nimpe utaratibu wa kiofisi!
 
milion 1, full paid?
Hapana mkuu,hiyo ni bei ya gari huko Japan ambayo ni Dola 500 hapo sijajumilisha na gharama zingine za usafirishaji na kodi inaweza kufika hata 5mil.mpaka uishike mkononi!
 
Mkuu nahitaji Gari hizi;
Toyota Runx ,Passo na Funcargo
Haraka iwezekanavyo Mkuu...Mimi Siogopi kuzulumiwa Hata Hela naweza kukutumia Ukinipa Account yako..Hela yote.Siitaji Kukujua Mkuu...
Au Nikutumie??Au Unaogopa Pesa Za Motto??
Mi nataka nikutumie Usipoleta gari Utajua mwenyewe Ila mi nakuwa nimeshakutumia Hela...
Hahahahaha,
Acha utani wa ukweli
 
Mkuu kama bado unataka gari tuwasiliane inbox,hapa hakuna utapeli kwa sababu unafanya biashara na kampuni sio mtu binafsi na taratibu zote za kisheria zinafuatwa!
 
Gari inayouzwa dola 500 Japan, ambayo ni sawa na Mil moja ya hapa hadi isafilishwe hadi hapa itakuwa ni kama dola 2000 na ushee, hiyo ndo CIF hizo ni kama 4.5mil sasa songombingo za TRA na the same amount 4.5mi kwahiyo the cheapest car ever ya kuagiza ambayo ipo fit ni kati ya sh 8mil had 9 .kwahiyo Gari ya Mil moja hakunaga. Hata ukipewa Gari bure Japan bado 6 to 7 Mil itakutoka
Upo sahihi mkuu,lakini mmi sikumanisha million moja ndio nimejumlisha na kila kitu hiyo ni bei ya gari tu huko Japan bado malipo mengine ya ziada!
 
Back
Top Bottom