Je unatafuta sehem ya kuprint

Mbona hakuna kinachopatikana kwenye hiyo website yenu zaidi ya hili tangazo uliloweka humu?
Mnaonekana hamko serious na mnachokifanya.
 
Mbona hakuna kinachopatikana kwenye hiyo website yenu zaidi ya hili tangazo uliloweka humu?
Mnaonekana hamko serious na mnachokifanya.

nilijua mimi pekeyangu,sasa sijui link alitupa ili iweje,watz bhana!!!
 
Mnaprint sticker zenye gundi tayari? kama yes 100pcs ni sh ngapi ikiwa pamoja na kudesign?
 
Hawa ndo wale wanaokurupuka bila hata kunawa uso wanakimbilia kupost JF.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…