kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Kwa dunia ya sasa hakuna kitu rahisi kujifunza kama programming(kama kweli unaipenda). Programming nivkativya discplines rahisi sana kujifunza kwa sababu zifuatazo.Mkuu napenda sana kuwa mtalaamu wa haya programming language.
Naomba msaada wako mkuu.Hatua kwa hatua.
1)Resources ziko nyingi sana mtandaoni kiasi kwamba kama ww unapenda kujifunza basi katika website unazozitembelea wakati ukiwa na bando ongezea websites za kujifunza programming kama vile w3schools.com github.com na pia uliza maswali google kila unaposhindwa nao watakupeleka sehemu kama vle stackoverflow.com ambapo karibia kila swali ambalo unawezakua nalo ww kama beginer limeisha ulizwa na kujibiwa na wataalamu wa coding.
So usisubiri kufundishwa coz mtu akishakua programmer kweli basi anakua bize sana, ni wachache wanaoweza kupata muda wa kusema akae na ww akufundishe unless iwe ndo kazi yake kufundisha
2)Programming ni kitu cha logic tu. Get the logic, fatilia common features za programming languages zote (zilizo famous na useful) then itakua rahisi ww kujifunza technology yyt mpya be it flutter, react-native, swift, erlang, au programming language yyt itakayotengenezwa miaka ijayo.
Unajua kwa sasa duniani hakuna chuo kizuri kama google na youtube, Usisubiri kufundishwa, soma kitu na usipoelewa iulize google nayo itakupa majibu yote hata kama swali lako ni simple kiasi gn. Kwa sasa hata developer aliesomea kwa maprofessa DIT au UDSm anaweza kupigwa gap la maana na developer mwenye nia anaetumia internet kujifunza. So love learning, keep practicing
Happy coding.