Je, unapenda progaramming, je unatamani kuwa developer? soma hapa jifunze kitu

Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course unaweza kuongeza ujuz wako.kama kunatakaye hitaj nimpatie hizo channel apate kujifunza anichek free kabisa
mkuu nami pia ninauhitaji wa hizo channel mkuu, barikiwa
 
Kuna wakati mada ililetwa humu about having a different place for programming/development related queries. Ikapingwa.

I think that killed all the momentum, kulikuwa na wachangiaji wazuri sana on everything programming ila wamepotea sikuhizi.

Sasa humu tunachanganya electronics, matangazo, whatsappgb sijui etc

Yaan jukwaa la tech Ila maswali mengi nayoona ni watu wanauliza app za kutumia smh
 
mkuu me nahitaji

Back
Top Bottom