Je, unapenda kuwa katika kampuni inayokulipa mshahara mkubwa au yenye hadhi ya juu sana?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,399
4,264
Inaweza tokeo umekubaliwa katika kampuni mbili kwa wakati mmoja.

Unakuta kampuni A ina offer kukupa mshahara mkubwa zaidi ya kampuni B, ila kihadhi na ki-brand kampuni B inaizidi kampuni A.

So kama ni wewe, ungechukua fursa ipi hapa?
 
Hadhi ya kampuni itakusaidia nini wewe na sio kampuni yako, wewe chagua mshahara mkubwa ili in the future na wewe uwe umekusanya mtaji uanzishe kampuni yako.
 
Hadhi ya company na yenye vifaa vyote modern ninavyohitaji pia kila kitu kipatikane kwa wakati tena nifanye kazi kwa uhuru. Hapo kazi nachukua mshahara uwe medium.
 
Hadhi ya company na yenye vifaa vyote modern ninavyo hitaji pia kila kitu kipatikane kwa wakat tena nifanye kaz kwa uhuru. Hapo kazi nachukua mshahara uwe medium.
Pia nafikiri itakupa nafasi ya kuwa marketable pale utapotafuta kazi kwingine kwa maaana utakuwa unaonekana umetoka kwenye brand kubwa.
 
Inaweza tokeo umekubaliwa katika kampuni mbili kwa wakati mmoja.

Unakuta kampuni A ina offer kukupa mshahara mkubwa zaidi ya kampuni B, ila kihadhi na ki-brand kampuni B inaizidi kampuni A.

So kama ni wewe, ungechukua fursa ipi hapa?

Kuna zaidi ya mshahara kwenye uchaguzi though changamoto pekee ninayoiona kwenye kampuni ndogo ni going concern issue..
 
Angalia allowances...brand kubwa nyingi zina allowance nzuri zinazidi salaries....kampuni ndogo zinawahi kujifia unabaki jobless mapema..... last time nikiwa kwenye hali hiyo nilichoose kampuni ndogo baada ya kucheki salary plus allowance nikajua lile ni kubwa jina tu
 
Kweli kabisa
 
Inaweza tokeo umekubaliwa katika kampuni mbili kwa wakati mmoja.

Unakuta kampuni A ina offer kukupa mshahara mkubwa zaidi ya kampuni B, ila kihadhi na ki-brand kampuni B inaizidi kampuni A.

So kama ni wewe, ungechukua fursa ipi hapa?
Chagua mshahara mkubwa achana na hadhi au brand kubwa kama hali yako unatokea kwenye umasikini na kipato duni ili uweze,kusaidia watu wako unahitaji fedha zaidi kuliko brand ya kazi yako na pia ukitaka kujianzishia kampuni yako utahitaji fedha kuliko brand la sivyo utafanyia kazi kampuni kwa ajili ya sifa tu mwishowe unastaafu masikini na watu wako pia ,watu wanakucheka na ile brand utaiacha tu, pia changamoto ya familia zetu ni fedha ili zijikwamue kutoka kwenye hali ya umasikini ila kama unatokea kwenye familia yenye kila kitu au umerithi mali au tayari unamali na hauna shida ya fedha na wewe mwenyewe unajiweza tayari na unafanya kazi for fun tu sio kujiingizia kipato kukidhi mahitaji ya kila siku basi nenda kwenye brand ya juu ili upaishe zaidi hadhi maana ndio unachotafuta kwa wakati huo.
Ila ukipata yenye vyote hapo safi.
 
Back
Top Bottom