Je, unamjua Godfrey Msongwe Kasekenya

Je, unamjua Godfrey Msongwe Kasekenya

Godfrey Msongwe Kasekenya ni mwanasiasa na mhandisi kutoka Tanzania. Ni Mbunge wa Jimbo la Ileje, Mkoa wa Songwe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kasekenya ni msomi mwenye taaluma ya Chemical and Process Engineering, pamoja na elimu katika eneo la Finance and Accountancy.

Katika utumishi wake serikalini, Godfrey Kasekenya amewahi kuwa Naibu Waziri katika sekta ya Ujenzi na Uchukuzi, kabla ya mabadiliko ya muundo wa Wizara hizo.

Baada ya mabadiliko ya muundo wa Wizara mwaka 2023, aliendelea kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi.

AMEFANYA KAZI NA MAWAZIRI TOFAUTI

Kinachovutia ni kwamba, kwa kipindi cha miaka kadhaa, Kasekenya ameendelea katika sekta ya Ujenzi huku mawaziri wakuu wa sekta hiyo wakibadilika.

Amefanya kazi na:

  • Dkt. Leonard Chamuriho
  • Prof. Makame Mbarawa
  • Innocent Bashungwa
  • Mhe. Abdallah Ulega
  • Na kwa sasa Mhe. Masanja Kadogosa

Hivyo, kwa tafsiri ya hoja hii, Godfrey Kasekenya amekuwa Naibu Waziri katika sekta ya Ujenzi chini ya mawaziri kadhaa tofauti.

Jambo hili linazua swali la msingi:

KWA NINI HAPANDISHWI KUWA WAZIRI?

Kama amekuwa akibaki katika sekta hiyo wakati mawaziri mbalimbali wakibadilishwa, inaibua mjadala kuhusu nafasi yake katika sekta ya Ujenzi.

Ikiwa anafanya vizuri, kwa nini bado hajapandishwa kuwa Waziri?

Na kwa upande mwingine:

Ikiwa hafanyi vizuri, kwa nini hajaondolewa katika sekta hiyo kama ilivyowahi kutokea kwa baadhi ya viongozi wengine?

Kwa miaka yote hiyo, kinachoonekana ni kwamba viongozi wa juu yake wamekuwa wakibadilika, lakini yeye ameendelea kubaki katika nafasi ya Naibu Waziri katika sekta hiyo.

SWALI LA MSINGI

Je, kuendelea kwake katika sekta ya Ujenzi chini ya mawaziri tofauti kunaonyesha kuwa anaaminika na anafanya kazi vizuri katika eneo hilo?

Au kuna sababu nyingine za kiutendaji na kisiasa zinazoamua kwa nini anaendelea kuwa Naibu Waziri badala ya kupandishwa kuwa Waziri?

Hili ni swali linalostahili mjadala.

Babu Juju ✍🏾View attachment 3680269
In fact,
the gentleman and very brilliant and able politicians, amefanya kazi na hayati Dr.John Magufuli kwa muda mrefu zaidi na wengine, na kwahivyo, kwa kiasi kikubwa ana hulka na haiba ya utendaji na ufuatiliaji kama Dr.JPM.

Jambo la muhimu sana kufahamu katika siasa ni kwamba, politics is dynamic in nature, and there are two constants in politics; namely 1.betrayal, and 2. is interests.

Do you think,
the current political dynamics and political interests is favorite to the gentleman hata awe waziri kamili?

By the way,
the man has capacity, experience and ability to be a full minister, but political dynamics favors others than him at a moment, but at any time the man can be,

it's a matter of time tu gentleman 🐒
 
Ni SNITCH na yuko hapo rasmi kwa kazi hiyo
 
Umeweka hoja nzuri sana mkuu. Na ndiyo maana swali langu bado linasimama: kama ana uwezo, uzoefu na amekuwa akiaminika kuendelea katika sekta ya Ujenzi chini ya mawaziri tofauti, ni nini hasa kinachokosekana kwake kuwa Waziri kamili?
Huenda kweli ni suala la political dynamics na interests kama ulivyosema. Lakini kwa upande mwingine, kama anaendelea kuaminiwa katika sekta hiyo kwa muda wote huo, inaonyesha kuna kitu anafanya vizuri.
Labda kweli ni suala la muda tu. Time will tell.
 
Binafsi namjua in and out politically,
the gentleman ana uwezo mkubwa, huenda kuzidi wanasiasa na viongozi wengi sana serikali kuu,

ni muhimu aendelee kua mstahilivu na mwenye subra, wakati wake muafaka wa kuonekana ukifika, hapatakua na wa kumshusha chini bali kumpandisha juu zaidi katika utumishi wa umma.

In politics,
nothing happens out of mere coisidence, everything are normally well planned, organized, scripted and executed in order to achieve a certain political objectives.

mimi na wewe inafaa kua wastahilivu na wenye subra pia, na kwamba huenda muungwana anaandaliwa na Mwenyezi Mungu kua somebody else katika nchi hii hapo mbeleni 🐒
 
Kama ni mzuri, ipo siku anaweza kuibukia kwenye UPM au zaidi. Majaliwa alitokea Unaibu hadi Uwaziri Mkuu.
Hope mleta mada amejenga hoja
After kuona kadogosa ameruka Kasekenya kutoka benchi la nyuma hadi Uwaziri kamili
 
Binafsi namjua in and out politically,
the gentleman ana uwezo mkubwa, huenda kuzidi wanasiasa na viongozi wengi sana serikali kuu,

ni muhimu aendelee kua mstahilivu na mwenye subra, wakati wake muafaka wa kuonekana ukifika, hapatakua na wa kumshusha chini bali kumpandisha juu zaidi katika utumishi wa umma.

In politics,
nothing happens out of mere coisidence, everything are normally well planned, organized, scripted and executed in order to achieve a certain political objectives.

mimi na wewe inafaa kua wastahilivu na wenye subra pia, na kwamba huenda muungwana anaandaliwa na Mwenyezi Mungu kua somebody else katika nchi hii hapo mbeleni 🐒
Upo sahihi mkuu

Umeongea kwa mtazamo mpana sana.

Huenda kweli kuna mambo ambayo sisi hatuyaoni kwa sasa. Cha msingi ni kusubiri na kuona; kama una uwezo na utendaji wake unatambulika, wakati wake ukifika tutajua.
Kwa sasa, hoja yangu ilikuwa ni kujiuliza tu: kwa nini ameendelea kubaki kwenye sekta ya Ujenzi kwa muda mrefu huku mawaziri wakibadilika? Huenda jibu lake likawa ndani ya hiyo political dynamics uliyoieleza. 🐒
 
Back
Top Bottom