Je, unamfaham James Lembeli?

Je, unamfaham James Lembeli?

jembepori

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
618
Reaction score
194
Wadau nimekuwa nikitafakari kuhusu uchaguzi mkuu na mbwembwe za watangaza nia ni kama vile watanzania tumeshalipuuza suala la "uadilifu" jambo ambalo ninahakika kuwa hata tukilipuuzia vipi mudua utatuhukumu, ni suala la wakatil tuu na tutakuja kujuta.

Kuna huyu mzee Lembeli mimi nimekuwa namuona hasa kwenye mambo ya bungeni na kwa kweli kwa hali ya nchi yetu ninavyoina ana beba "Leadership Material", yaani ana hazina ya uongozi kwa nchi.

Jambo ambalo silielewi ni kwamba yaani kwake yeye hata haonikani hata kuwazia uraisi wa Tanzania,so nani anamjua vizuri huyu mzee, atulete sifa zake ki uongozi kwani nchi yetu hapa ilipofika inahita viongozi siyo watawala.

karibuni wadau.
 
Limbeli ni wale wale ana njaa hakuna Mfano kuna Mzee mmoja yupo huko kawe anaitwa Ngonyani 0656005556 aliporwa kiwanja na Mchungaji Rwakatare, akaenda kwake kusaka Msaada akamwahidi Msaada lakini alipopewa Rushwa na mama Rwakatare akamgeuka Huyo mzee hadi leo hajapata haki yake, Limbeli pia alipokea mkwanja toka kwa Sendeka ili ashiriki zoezi la kumn'goa Muhongo kisha Mengi aweze kumiliki Vitalu vya Gesi kibao, Limbeli ni Mpigaji wa chini kwa chini japo utandawazi sasa unamuumbua.
 
Alikuwa anahuitaji uwaziri wa maliasili akatoswa sasa hivi anahasira huyo,sasa anautolea macho uwaziri wa ardhi lakini hatopata kitu
 
Hivi wewe unamfahamu Chenge, kiongozi makini hajawahi kuonekana ktk hii sayari.
Unaongea nini wewe?
 
...

....Kahama mnaniangusha sana !!

makamanda wa Kahama tuweke ji
we
 
...

....Kahama mnaniangusha sana !!

makamanda wa Kahama tuweke ji
we
Lembeli jambazi alkua anaingneer mkakat wa kuuza hfadhi ya katavi kwa makaburu wa south afrca na nyalandu mpango wao uliposhtukiwa wakafyata tena walirudshiwa airport dar....pili ameshrki kunyang"anya wazawa vtalu na kuwapa wamarekan
 
Alikuwa anahuitaji uwaziri wa maliasili akatoswa sasa hivi anahasira huyo,sasa anautolea macho uwaziri wa ardhi lakini hatopata kitu

Nashukur ndugu yangu Bandubandu nadhani nilikuwa simjui vizuri sasa naanza kupata picha halisi ya Mh.Thanx
 
Hivi wewe unamfahamu Chenge, kiongozi makini hajawahi kuonekana ktk hii sayari.
Unaongea nini wewe?

Huyu Andrew Chenge alipokuwa mwanasheria mkuu sijuu ni watu wangapi maskini ya Mungu wanaozea jela leo hii kwa kuonewa na Chenge sababu ya rushwa, au ni wangapi wamenyimwa haki zao za msingi kwa kukosa hela wakipambana na matajiri waliowadhulumu waliomhonga AG Chenge, poleni sana!
 
...

....Kahama mnaniangusha sana !!

makamanda wa Kahama tuweke ji
we

Lembeli mwisho mwaka huu kamanda kahama kuna mwamko sana wa upinzani lembeli aende kijijini kwao huko tunasikia kuna jimbo mpya huku town hatumtaki tena!
 
Huyu ni kati ya wabunge CCM wanaonifanya niendelee kuwa mwana CCM, ni mbuge anayefanya siasa za kijimbo zaidi. Ni mbuge anayependwa zaidi hata ya Chama Cha Mapinduzi.
 
Lembeli jambazi alkua anaingneer mkakat wa kuuza hfadhi ya katavi kwa makaburu wa south afrca na nyalandu mpango wao uliposhtukiwa wakafyata tena walirudshiwa airport dar....pili ameshrki kunyang"anya wazawa vtalu na kuwapa wamarekan

Unaweza kuwa huko sahihi! Kwa sababu sikuelewa kwa nini alilishughulikia suala la tokomeza ujangili kwa staili ile akiwa mwenyekiti wa tume ya uchunguzi. Hawa kujishughulisha na yule aliyeaagiza askari watekeleze Unyama ule. Yawezekana aliinjiania kuangushwa kwa Kagasheki aliyekuwa serious kumaliza tatizo la Ujangili.
 
Limbeli ni wale wale ana njaa hakuna Mfano kuna Mzee mmoja yupo huko kawe anaitwa Ngonyani 0656005556 aliporwa kiwanja na Mchungaji Rwakatare, akaenda kwake kusaka Msaada akamwahidi Msaada lakini alipopewa Rushwa na mama Rwakatare akamgeuka Huyo mzee hadi leo hajapata haki yake, Limbeli pia alipokea mkwanja toka kwa Sendeka ili ashiriki zoezi la kumn'goa Muhongo kisha Mengi aweze kumiliki Vitalu vya Gesi kibao, Limbeli ni Mpigaji wa chini kwa chini japo utandawazi sasa unamuumbua.

huna jipya juu ya engine hiyo
 
Back
Top Bottom