Nimeipenda hio, yuko mbele, na 'fimbo mbele'Mwenye fimbo atakuwa Maxence Melo.
Sijui karefuka kiduchu maana!
View attachment 66475
My Take: Ukiangalia picha hii ujionyeshe ulikuwa msitari wa mbele au nyuma. Asante wapendwa
Mi watatu toka kulia. Nilikuwa na sura pamoja na fikra za kiutu uzima. Maza akipokea mshahara,nikawa namwibia noti kadhaa na kuzificha. Zikifika tarehe za kuishiwa namkabidhi hela zake. Akawa ananisifu na kushukuru vibaya.'Bichwa linavimbaa'!!!
View attachment 66475
My Take: Ukiangalia picha hii ujionyeshe ulikuwa msitari wa mbele au nyuma. Asante wapendwa