Je Unakumbuka enzi zako???

hapo sipo, nilikuwa napenda kuwa kifua wazi, wenyewe wanaita kifua gemu sijui ndo nini
 
mie wa kwanza kushoto, huyu wa nyuma yangu sister mkurungenzi wa........
 
Mtoto kutovishwa kaptula inaitwa 'self service'

Miaka hio mama alikuwa ananishonea kaptula kwa sindano yeye mwenyewe, ninafikiri unaniona kwa pembeni. Inakuwa kubwa, itakutosha mbele ya safari!
 
View attachment 66475
My Take: Ukiangalia picha hii ujionyeshe ulikuwa msitari wa mbele au nyuma. Asante wapendwa

Mi watatu toka kulia. Nilikuwa na sura pamoja na fikra za kiutu uzima. Maza akipokea mshahara,nikawa namwibia noti kadhaa na kuzificha. Zikifika tarehe za kuishiwa namkabidhi hela zake. Akawa ananisifu na kushukuru vibaya.'Bichwa linavimbaa'!!!
 
Kwi kwii, umekuwa honest!
 
huyo mwenye fimbo ni mkuu ktk ofisi ya rais masuala ya......! (nina maana ofisi ya RAIS wa TFF....!)
 
Back
Top Bottom