Je, unakijua kikosi cha KM?

KMKGM = Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani

Mara ya kwanza nawaona ilikuwa gereza la Karanga, Moshi, wakiwa wamevaa full riot gear, pande za mtu, pia ni warefu. Baadae nikamuuliza bro (yeye ni ASP) inakuaje wale, ndo akaniambia kuhusu kikosi hicho.

Aliniambia urefu ni sifa yao muhimu kwa sababu wanatakiwa wawe na uwezo wa kutengeneza "ngazi-binadamu" (Human ladder). "Combat" zao zilinivutia sana.
 
nimecheka unavyo simulia, au ulisha chezea kichapo cha km
 
Afrika ni Afrika Tu
 
Km wanakuwaje hatari, huku wanapigana na mtu asie hata na fimbo mkuu.. ?
 
Noma sawa, ila sio nyingi sana. Wanapiga watu wasio na siraha na wapo utupu.. hapo lazima waonekane wakali. Ili kujua ukali wao wakutanishwe na wavunja tofali
Hii hoja inafikirisha...ila kulinda 'wafungwa' sio jambo jepesi.
 
...hayo mavazi yao na maumbo yao makubwa ni silaha tosha za kuwatisha hao 'wafungwa wakorofi' wasithubutu kufanya vurugu.



 
umetia ka ulongo kidogo; hawa KM huwa hawasuburi kuche, ndiyo maana hata usiku kuna akikosi maalum huwa kiko standby kwa lolote; lolote linapohisiwa, wao huingia mzigoni mda huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…