1. Usitoa Fedha chafu .
2. Usitembee mda mrefu kwa mguu. ( use car )
3. Usiwe muoga ( msimamo ni muhimu)
4. Usiongee au kuchangi jambo la kipuuzi ,make sure ukiongea unatoa cheche. ({STRONG POINT}
5. Usilewe pombe kupitiloza kufika mahali hujielewi.
6. Usiwe na pessa chafu za note.
7. Mfuko wa shart uweke noti kubwa kubwa , kama Elfu tano na elfu kumi na epuka sarafu nyingi.
8. Make sure kola(color) ya shart na sehemu nyingine si chafu.
9. Usinune kupitiliza ,have a little smile .. usipitilize kucheka . 10. Usiwe mtu wa kiherehere kuchangia kila mada itakayozungumzwa kwenye mikusanyiko ya watu wengi.
11. Ukibeba gazeti make sure si gazeti la "Udaku"