Matusi ni vihisishi.
Sasa watu wasioweza kudhibiti hasira lazima watatumia sana matusi. Wanatukanwa na wao wanajifunza.
Pia matusi yanaweza tumika kama rejesta na makundi ya watu mfano walevi, wavuta bangi, makonda nk....

poleni😂Wavuta bangi umewaonea mkuu![]()
Hao akikuvutiaWavuta bangi umewaonea mkuu![]()
Alisema Mzee mmoja: kutafakari sio jambo jepesi, ndio maana watu huishia kwenye matusi.
So ukiona watu humu jf wanamatusi ujue uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ....most of them wanakuwa wafupi/ pia watata
Cognizant tupe uzoefu wako mkuu
Bashite hayupo na shepu ya hivi ila ni mtukanaji nguli, unalijua hilo?most of them wanakuwa wafupi/ pia watata
poleni![]()
kwan kuna sehem nimewah kuconfess kwamb natumia mjani?Nisamehe mama. Yaishe hapa hapa.Mimi tenakwan kuna sehem nimewah kuconfess kwamb natumia mjani?
Umeyakanyaga sasa😂😂😂😂😂Nisamehe mama. Yaishe hapa hapa.
Hao akikuvutia
Ni hamna rangi utaacha kuona
![]()
sijawai kkutana nao wa desgn hiyoNisamehe mama. Yaishe hapa hapa.