min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,562
Kwel kabisa kama mtu anajisikia kutukana ni vizuri atukane tu , wala matusi hayana madhara kwa mtukanwaji kama afya ya akili ipo sawa.Msitafute namna ya kuepuka kutukanwa.Don't provoke anybody if at all you don't like negative reactions.Anayetukana anaonesha hisia halisi za mapokeo ya alichofanyiwa ili ajipooze nafsi yake.Epuka kukorofisha mtu asije kukurudi kihisia.
Tusi litakua tusi endapo tu mtukwanaji atalichukulia katika hali ya hisia hasi.
Wabongo wengi afya zetu za akili zinamatatzo kwa ajili ya kutawaliwa na mawazo hasi na hisia haribifu.