Je, unajua kwamba kunguru ni kitoweo?

Je, unajua kwamba kunguru ni kitoweo?

Chura,konokono wote wanaliwa hata kunguru jipimue tu huenda hata wakapungua maana wamekuwa kero

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dhana ambayo nilikuwa naiamini hadi sasa kuwa nyama ya kunguru ina kemikali fulani ambapo kama ukila nyama ya kunguru basi utajisikia kiu na hata ukinywa maji kiu haikati. Kwa hiyo utakufa unakunywa maji.
 
Tatizo muda na akili ya kumnasa kunguru ni bora ukapige debe stendi kisha ukanunue kuku sokoni. Nimetega sana ndege ila ni ngumu sana kumnasa lwa sababu hamwamini kabisa binadamu hata ujenge ukaribu naye.
 
Kuna dhana ambayo nilikuwa naiamini hadi sasa kuwa nyama ya kunguru ina kemikali fulani ambapo kama ukila nyama ya kunguru basi utajisikia kiu na hata ukinywa maji kiu haikati. Kwa hiyo utakufa unakunywa maji.
Kitoweo Kama hakikudhuru we piga tu, maana hata kile ambocho unahisi wengi wanatumia wapo pia ambao kinawadhuru,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitoweo Kama hakikudhuru we piga tu, maana hata kile ambocho unahisi wengi wanatumia wapo pia ambao kinawadhuru,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira yanaathiri sana uchaguzi wa vitu kwetu sisi binadamu. Kwa mimi kuanza kula kunguru ni ngumu maana tayari nimeshajijengea kuwa kunguru si kwa kitoweo.
Hivyo hata kama nyama yake haina madhara ila kama nikila ni lazima nitajisikia vibaya tu.
 
Ndio mkuu wanakula ,ishu Ni kwamba
Ndege aina yoyote Ni adimu Sana china.kuna jamaa alikuwa akifanya research ya ndege huko china. anasema ndege wengi huliwa kama chakula hivyo Kuna upungufu mkubwa wa ndege. Pili, Wachina hawapendi miti. Hutaona miti katika miji ya Kichina labda kwenye vijiji vinavyozunguka miji mikubwa tambua kuwa Ndege hawawezi kuishi kwenye majumba na magorofa yaliyojengwa na zege. Pia, kwa wakati huo raisi wao Mao aliweka mpango wa kuondoa ndege aina ya sparrow sijajua kwa kiswahili wanaitwaje Ila hapa bongo wapo wengi Sana Ni vidogo dogo hv vinakula nafaka. Aliita sparrow Kama ndege wa ubepari.' Kwa bahati mbaya, Mao hakuwa mtu mwenye busara sana. Karibu maoni yake yote hayakuwa na maana.Hakugundua ndege walikula wadudu, na walikuwa sehemu ya mfumo wa ikolojia. Kwa hivyo uzalishaji wa mchele ulianza kupungua. lakini Sparrow waliondolewa karibu kufikia hatua ya kutoweka nchini China,ndiyo sababu hauoni ndege nchini Uchina

Mkuu, unasema wanakula (Kunguru) na hapo hapo unasema ndege ni adimu sana China!!--- what a self contradictory statement!!!.

Hivi leo wachina wanajula Kunguru??? Toa mfano hai,
 
Naona unajitakia COVID - 22
Hjkfgmh
IMG_20200605_142324.jpg
 
Sparrow= mbayuwayu
 
Mimi si ndiyo uliyenijibu!!!, sasa fafanua kwanini uchafu wa nguruwe unapotajwa wewe unakasirika???--- uchafu afanye nguruwe na ashutumiwe yeye wewe unapandwa na ghadhabu, kiwewe na mzuka!!!, Why??
Mkuu labda nikujuze kuwa nguruwe ndiye mnyama mwenye nyama tamu kuliko zote ambazo nimewahi kula.
Hivyo unapomsema kwa lugha kama hiyo sisi kama wadau wake hatuwezi kujisikia vizuri.
Mkuu, nguruwe ni mtamu balaa na kwa kuwa yeye hawezi kujitetea kwa ulichomsema sisi tutamtetea yeye.
 
Mimi sijazungumzia juu ya utamu wa nyama ya nguruwe, mimi nimezungumzia juu ya ulaji hovyo na uchafu wake, yeye ni miongoni mwa Scavengers, ama nyama yake iwe tamu, chungu, laini, mbaya etc, hiyo hainihusu, mbona kuna watu wanasema nyama ya Fisi ni tamu kama ya nyama ya nguruwe kwani hilo linamuindoa Fisi kuwa Scavenger? ???
Shida ipo pale ambapo unajaribu kujenga hoja kuwa scavenger hawafai kwa chakula cha binadamu.
 
Swali ni moja tu, je wanakula nyama ya binadamu au je walishawahi kula kunguru???
Unaishi dunia gani mkuu. Makandarasi wa kichinia kuna kipindi walikamatwa kwa kazi ya kula minofu ya watu. Sio bongo lakini
 
Popo tu hapo zenji wanaliwa,itakuwa kunguru.

Nyama ni nyama tu. Sema sie ndio tunaleta uchaguzi wa kipi tule.
 
Mkuu, unasema wanakula (Kunguru) na hapo hapo unasema ndege ni adimu sana China!!--- what a self contradictory statement!!!.

Hivi leo wachina wanajula Kunguru??? Toa mfano hai,

Ok,Ni hv wachina wanakula,lakini kutokana na uhaba wa kunguru sio rahisi kukuta migahawani,wajapani pia wanakula kwa Imani ya kwamba ukila mnyama mwenye akili nawe pia utakuwa nazo,inasemekana kunguru Ni ndege mwenye akili nyingi Sana,wanauwezo wa kuinvestigate kifo Cha kunguru mwenzao,wanauwezo wa kukariri sura ya mtu na kuwapa majina watu pia huwazawadia watu wanao wafuga n.k pia wana protini na vitamin B. Marekani ndio hutumika Sana Kama kitoweo mkuu,nadhani atilisti mpaka hapo umepata picha Kidogo.
 
Back
Top Bottom