Je unajua kitu kinaitwa 'm2m'

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
kuna program ita anza muda si mrefu na makampuni yanayojifanya eti they are fighting against AIDS, hii program italenga mahusiano ya mwanaume na mwanaume wafanye ngono salala, waingiliane bila kuambukizana ukimwi, kwa hiyo hii program italenga kuwapa support watu hawa ktk moraly na material, kwa hiyo watapewa hela na mafuta ya kulainishia nani hii ili kuondoa mmichubuko.....jaman huu ni ujinga tuwe macho,
 
umeniacha mbali sana, hiyo programu ya m2m (unamaanisha muhimbili?) kwa maana hiyo mbili hapo kati ya m na m ndio jina la programu ama ndio nini? halafu mafuta ya kulainisha ndio huondosha ukimwi? nimeisoma post mara nne nikairudia tena sijapata ufahamu wa hiyo programu iliko na ifanyavyo kazi, mwanzo nilifikiri ni programu ya kompyuta lakini kwa kurudia rudia kusoma nikaona programu umemaanisha ni mpango, ila mpango wenyewe ndio sijauelewa na hizo m-mbili-m zinavyofanya kazi.
 
Tanzania tusiyoitaka ni ya m2m maana wanakuja na ujinga wao wanatuibia dhahabu na mengine mengi halafu wanapata na wanaume wakuwafanya nao m2m maana wanaogopa mabinti zetu watawachuna kiuhakika. Upuuzi na pesa hiyo ni malipo ya kishetani!
 
Back
Top Bottom