TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,723
- 10,227
aisee,hi nlikuwa siijui alafu nahisi kuna ukweli hata kama sijaudhibitisha!!sina mtoto wa hivyo ila umewapa wadau hoja nzuri sanaaaNi mengi mno. Wale uncles (kondaktaz) huwa wana tabia chafu sana. Vile vitoto vinavyo anza kuota matiti vimekuwa vikichezewa na kushikwashikwa maziwa na makonda hao, haswa wanapokuwa ni wa kwanza kuchukuliwa kabla ya wenzake au ni wa mwisho kurudishwa nyumbani.
Pia wavulana nao wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kutoka kwa wahuni hao wanao jiita uncle.
Ni bora mwanao umpeleke shule mwenyewe na ukamchukue (kama una uwezo)
Unaweza muokoa na kondaz,ila kuna walimu shuleni na hata ndugu zako hapo nyumbani.
Bado majirani nao wamo.
OTIS.
My gooosh!
Hili jambo lina ukweli fulani!
Nilipata kuona dalili za hii michezo kwenye gari fulani la wanafunzi!...Yaani wako tayari kumchelewesha mtoto wanayemtaka ili wabakie nae peke yake na wamtende jeuri!
Ndio maana wahindi wanaajiri madereva vibabu!...Lakini hawa barobaro ni hatari kwa afya ya mtoto!
Kwanini wacweke konda wanawake?!,,,,
Kwanini wacweke konda wanawake?!,,,,