MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,575
- 8,911
Hii ni aina ya Bomu linalo safiri chini kabisa ya bahari na kazi yake sio kulipua miji bali ni kulipua sakafu ya aridhi na hivyo kusababisha Tsunami kubwa sana.
Kutokana na aina ya bomu lenyewe ni vigumu sana kwa mitambo ya ulinzi kuweza kulizuia na kwa sababu halilipui nchi kavu bali ndani ya maji ya kusababisja wimbi kubwa sana la maji ambalo huenda kupiga pwani.