Je unaijua AMANA Bank, Inayokopesha bila Riba?

Kwa hiyo walivyomlipa supplier amount waliyokudai wewe ilikuwa sawa na ya kwenye invoice? Au walivyokuletea vifaa wakasema tutakuuzia kwa bei hii ambayo ni tofauti na kwenye invoice? Au walikuambia ndo inaitwa gharama ya mkopo?
Supplier wamempa 10, mimi wananidai 18
 
Je Uislam unakubaliana na Hayo
Yani utumie Pesa yangu nlokuwekesha Kuifanyia Biashara kisha Uje Unipe Kiasi ktk faida iliyopatikana??
Ktk uislam Chumo lote lililopatikana ktk pesa hio ni mali ya Mwenye Pesa na Ni Makosa kumgaia bali ni kumpa chote kisha yeye ndo Akigawie kama Akitaka

Rejeeni historia ya Bwana alie wekeza Mbuzi
Bwana Aliewekeza Mbuzi hawakuingia mkataba kabla ya kwamba tutagawana kiasi flani katika chumo litakalo patikana, na ndio maana alistahili kuchukua mbuzi wote na kumpa kwa mapenzi yake kiasi kidogo cha faida (Uzao wa mbuzi wale).

Kwa Amana Bank mnaingia makubaliano Mapema kwamba Wewe Utakuwa Rabul Maali na Bank wanAkuwa Mudharib, wewe unatoa hela, wao wanatumia ujuzi wao kuwekeza, baada ya hapo Faida Mtagawana kwa Ratio mliyokubaliana na bahati mbaya ikiwa mradi wenu hautaleta faida basi benki itabeba hasara wewe faida yako utaipata, yaani wao wataazima sehemu nyingine kufidia ahadi mliyo kubaliana.
 
M
KAMA NI KWELI USEMAYO BASI WANAUDHALILISHA. UISLAM

ILA WATADHALILIKA WAO
kuu hapo nakataa, Maana Kwa Kawaida Profit Margin Huwa haizidi 21% sasa kama supplier wamempa Mil 10, wewe Mkopaji Utakuwa Umechajiwa Faida ya Kama Milion Mbili na Laki 1 Hivi, Hvyo Basi Mkopo Utaorudisha Huwa ni Around Mil 12.
 
Kwa hiyo kwenye mikataba ni kama wamekuuzia vifaa kwa milioni 18? Na collateral ilikuwa ni nini?
Collateral ni mwajiri wangu, hiyo 8 ya ziada wanaiita faida kitu ambacho si kweli, hakuna faida inayopatikana bila kutoa gharama
 
M

kuu hapo nakataa, Maana Kwa Kawaida Profit Margin Huwa haizidi 21% sasa kama supplier wamempa Mil 10, wewe Mkopaji Utakuwa Umechajiwa Faida ya Kama Milion Mbili na Laki 1 Hivi, Hvyo Basi Mkopo Utaorudisha Huwa ni Around Mil 12.
Hiyo margin yako ni ya mwaka mmoja, mimi ni wa miaka 5 hiyo interest ni kwa mwaka, wao yao ni 15%
 
Hakuna Bank ya Kiislam hapa Tz
Naongea hayo nikiwa ni Muislam nnaouelewa Uislam
Humo Riba zimo ila Zimewekewa Mapambo zikapambika
Hio ni Tanbeeh tu na siko kwa nia ya Kubishana
Kama nakujua flani hivi. Bila ya shaka from Rock City. Usemalo ni kweli. Hakuna cha Islamic Bank wala nini, Riba ipo pale pale in disguise
 
Hiyo margin yako ni ya mwaka mmoja, mimi ni wa miaka 5 hiyo interest ni kwa mwaka, wao yao ni 15%
Mkuu hapo Kuna Walakini, Kawaida Profiti Huchajiwa kwa Asilimia kisha Hugawiwa kwa Kipindi Cha Marejesho ya Mkopo Husika, Kwa Sasa Hakuna Mkopo Unaenda Mpaka Miaka 5 Kwa Mtu Anae Kopa Tsh Milioni 10, Kwa hili nakataa. Mikopo ya Milioni 10 huenda Max miezi 36 yaan miaka Mitatu kwa Waajiriwa na Miezi 18 yaani mwaka na nusu kwa wafanya biashara so kama ni Muajiriwa Utachajiwa Hiyo Milioni 12.1 ambay utaigawa kwa miezi 36 au ukiwa ni mfanya biashara uatachajiwa hiyo milion 12.1 utaigawa kwa Miezi 1 uatarejesha kidogo kidogo.
 
Collateral ni mwajiri wangu, hiyo 8 ya ziada wanaiita faida kitu ambacho si kweli, hakuna faida inayopatikana bila kutoa gharama
Ndo hapo nimekuwa confused. Nafikiri kuna limitation katika baadhi ya maeneo. Yaani hapo kuuita faida kitu ambacho tayari mimi nipo aware na price yake shilingi ngapi na mimi ndiyo niliyewaletea invoice. Ingekuwa vyema kama mimi na list to specs ya nachohtaji then naletetewa kwa 18 m. kwa hiyo wao wanajua pa kununua, then faida itakuwa justified na efforts wanazotumia wao kupata hiyo material otherwise kama mimi ndo nawaelekeza na mimi ninayewaelekeza I know the price basi hapo sio tofauti na riba. And how do they arrive to 8 m profit :D:D:D.. Nipo interested kuifahamu formula maana wasije wakanatumia formula za interest...:D:D:D
 
Formula ni za interest;
Loan 10,000,000
Interest(profit) rate per annum 15%
Period 5years

Calculations:
Interest per year=15%*10,000,000
=1,500,000
Total interest for 5 years=1,500,000*5
=7,500,000
Total Amount to be repaid=Loan+Total Interest
=10,000,000+7,500,000
=17,500,000

Monthly Repayment
=Total Amount/Number of Months
=17,500,000/60(5 years)
=TZS 291,667
Hiyo ndio formula yao, nadhani tumeelewana sote
 
Mkuu hapo Kuna Walakini, Kawaida Profiti Huchajiwa kwa Asilimia kisha Hugawiwa kwa Kipindi Cha Marejesho ya Mkopo Husika, Kwa Sasa Hakuna Mkopo Unaenda Mpaka Miaka 5 Kwa Mtu Anae Kopa Tsh Milioni 10, Kwa hili nakataa. Mikopo ya Milioni 10 huenda Max miezi 36 yaan miaka Mitatu kwa Waajiriwa na Miezi 18 yaani mwaka na nusu kwa wafanya biashara so kama ni Muajiriwa Utachajiwa Hiyo Milioni 12.1 ambay utaigawa kwa miezi 36 au ukiwa ni mfanya biashara uatachajiwa hiyo milion 12.1 utaigawa kwa Miezi 1 uatarejesha kidogo kidogo.
Nadhani hautaki kujifunza, unataka kunibishia, nitafute nikuoneshe mkataba wangu ndio utanielewa, siwezi kubishana kwa kitu kilicho wazi kwangu
 
Formula ni za interest;
Loan 10,000,000
Interest(profit) rate per annum 15%
Period 5years

Calculations:
Interest per year=15%*10,000,000
=1,500,000
Total interest for 5 years=1,500,000*5
=7,500,000
Total Amount to be repaid=Loan+Total Interest
=10,000,000+7,500,000
=17,500,000

Monthly Repayment
=Total Amount/Number of Months
=17,500,000/60(5 years)
=TZS 291,667
Hiyo ndio formula yao, nadhani tumeelewana sote
Mkuu nimekusoma ila naona concept yao sijawa convinced kama ni faida hasa kwa case yako wewe ya ujenzi wameibatiza tu jina la faida. Otherwise wasitumie hata formula ya interest..
 
Kama nakujua flani hivi. Bila ya shaka from Rock City. Usemalo ni kweli. Hakuna cha Islamic Bank wala nini, Riba ipo pale pale in disguise
Hata mimi nimeliona hilo. Kuna ujanja ujanja wa kubadilisha tu maneno lakini ukiingalia kwa undani ni riba kabisa hasa ikija kwenye mikopo ya suala la ujenzi...
 
Hivi kwa mfano mtu anafanya biashara, ananunua bidhaa kwa 10,000 then anaiuza kwa 13,000 - sasa hapa kuna tofauti gani na riba au neno lenyewe riba ndo halipendwi. Mambo ya imani yanawafanya watu kama wajinga vile
Labda naweza kujibu kwa kuuliza swali: je kuna tofauti gani kati ya ngono inayofanywa na wanandoa na wale wasio wanandoa? Kama hakuna tofauti je ni kwann wale ambao hawajaoana wanaonekana wanafanya tendo la ngono wasilostahili kufanya..?!
 
Back
Top Bottom