Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI
Utaenda?
Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae shiriki nae tendo.
Ila ki ukweli ungekuwa unajua dhahiri kuwa mtu unae enda kulala nae tayari ana ngoma hata hiyo condom ukipewa uta du kweli?
Mimi siziamini hata nukta...

Pamoja na yote hayo mshana jr kuna condom zinauzwa 3pc kwa shs 500/- na zipo zinazouzwa 3pc kwa shs 7500/-, nini maana yake?
Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI
Utaenda?
Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae shiriki nae tendo.
Ila ki ukweli ungekuwa unajua dhahiri kuwa mtu unae enda kulala nae tayari ana ngoma hata hiyo condom ukipewa uta du kweli?
mmmh...tendo takatifu kama hili unaliita 'kupigwa'
Ahsanteeekama najua siendi .. ila kama sijui nakubali kupigwa
Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI
Utaenda?
Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae shiriki nae tendo.
Ila ki ukweli ungekuwa unajua dhahiri kuwa mtu unae enda kulala nae tayari ana ngoma hata hiyo condom ukipewa uta du kweli?
Tukienda nyuma sana mnamo mwaka 1494 ugonjwa wa kaswende ulipatikana kwa wanajeshi wa ufaransa, ugonjwa huu ulikuwa ni mbaya sana kiasi ambacho ukiupata unatokwa na upele mwili mzima na kuanza kutoa usaha baada ya hapo ngozi huanza kutoka yote kuanzia usoni na baada ya miezi mitatu kwaheriiii!!
Kuna mtu alitengeneza vitambaa na kuviwekea chemical fulani na kujaribishia watu 1100 na kuona haiambukizi ( walivaa kama condom ila kwa kuwa ni kitambaa wanafunga na ribbon)
Condom zilianza miaka ya 1642 wakitumia utumbo wa Mbuzi na wanyama wengine(usicheke) kwa wanaume na kwa wanawake walitumia vibofu vya wanyama kuzuia mimba. Pia walitumia kwa kujikinga na maradhi.
Kwa hiyo swali lako hilo wengi hupuuza na kujipa faraja kuwa aah anasingiziwa
Mae, nami siziamini nuktaaa. Naomba mechi ya mchangani!!Mimi siziamini hata nukta...