Je unahitaji mwenza wa maisha 2014? T

Je unahitaji mwenza wa maisha 2014? T

Mkuu,tafadhali sana.Najua sasa hivi Rihanna ni mpweke sana hasa baada ya misukosuko ya mahusiano yake na Chris Brown. Mwambie nipo tayari kuwa nae. Niunganishie kwake then nitakupa na hela ya vocha.
Ukimshindwa sana,nifanyie hata Lupita tu..

"Nlikuwepo":bolt:
 
kuna kale kabinti ka Obama kale sijui Sasha kanaitwa, mwambie akuunganishie,,,,,,,,,,,hahahaah
 
hana lolote mke wangu! kwani Ngalikihinja ananizidi nini kulaleki mpaka nimuogope!

ngoja aje nimzibue mabuti sasa! lolz!

hahahaha hakuzidi kitu mume wangu sema tatizo hanaga msalie ujue huyo mtu tusimwage mtama hapa king
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada acha utapeli kama huna kazi sema tukutafutie kuliko kufanya biashara najisi kama hii
 
siwanasema watu wajiajiri big up mwana ila me naomba unifanyie mpango kwa nick minaj aje hadi gheto me nakaa kwamtogole hapa kwamama amboni
 
siwanasema watu wajiajiri big up mwana ila me naomba unifanyie mpango kwa nick minaj aje hadi gheto me nakaa kwamtogole hapa kwamama amboni

Hahhhahhhahha halaf akishakuletea mwambie akuunganishe na Lady Gagaa
 
Huyu jamaa/demu inabidi asakwe na afikishwe Mahakamani!Biashara za ukahaba za u pimp na u-Jigalo ni kinyume cha sheria Tanzania
 
Je wewe ni binti/kijana/mjane/mgane na unahitaji mwenza wa maisha? Wasiliana nasi kupitia 0688647484 tuakuunganisha na mtu mwenye sifa unaohitaji. Tuma SMS ukieleza UMRI, UNAPOISHI & DINI kwenda 0688647484. Gharama ya kukuunganisha ni Shs. 10,000/=

hiyo 10,000/- ni mbegu tunapanda et? Deciiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom