excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,452
- 17,927
hahahahaha acha ubahili
sina ubahili mama bhoke!!!
mambo ya kuozeshwa shetani nani anaweza? siwezi kukabwa usiku mie! ntagecha mtu mm!
hahahahaha acha ubahili
sina ubahili mama bhoke!!!
mambo ya kuozeshwa shetani nani anaweza? siwezi kukabwa usiku mie! ntagecha mtu mm!
hahahahahhaha umeona eeeh raha ya mpenzi upitie process zote mtongozane live
hivi kugecha ina maana gani
kugecha ni kukata panga!! kulaleki!
mi siwezi uziwa gunia kwenye mbuzi bana.. naenda live kabisa nijionee mpaka ndani!
Je wewe ni binti/kijana/mjane/mgane na unahitaji mwenza wa maisha? Wasiliana nasi kupitia 0688647484 tuakuunganisha na mtu mwenye sifa unaohitaji. Tuma SMS ukieleza UMRI, UNAPOISHI & DINI kwenda 0688647484. Gharama ya kukuunganisha ni Shs. 10,000/=
hahahaha mpaka ndani???? ya??,,
eh! ina maana niseme kabisa ndani ya nini?
basi papuchi kulaleki! nikiuziwa shoga? lazima nikague kabisa kama mashine inaweka masaa 48! lolz
duhhhhhhhhhhhhhh masaa 48 hayo sasa ni mambo ya kukimbia pichu mkononi ina maana hamna pumziko
sasa hiyo si ni practical lesson? lazima ukaguzi mkali upite kuliko hata wa babu asprin!
nakagua kivitendo haswaaaa!!!! ukifeli ndo basi tena..
hahahahaha aiseeeee kisa cha kukoboana
Je wewe ni binti/kijana/mjane/mgane na unahitaji mwenza wa maisha? Wasiliana nasi kupitia 0688647484 tuakuunganisha na mtu mwenye sifa unaohitaji. Tuma SMS ukieleza UMRI, UNAPOISHI & DINI kwenda 0688647484. Gharama ya kukuunganisha ni Shs. 10,000/=
kukoboanaje mpenzi wangu?
we masaaaa 48 wafanya mchezooo eeeeeh kisa cha kuwaka moto wa asili
hapo masaa 48 kuna sections zinakuwa zinagawanyika! sio mgegedo 48hrs! ukaguzi lazima uguse idara zoote za msingi kama... ntakwambia kwa PM! LOLZ!
hahahahaha nakusubiri kwa ham unipe darsa au kama vipi tukutane kule chini kabisa
haya tena ukubwani mpenzi wangu tukamalizane kikubwa kulaleki..!
hahahahaha umeona eeeeh ila namuogopa Ngali maaana kila akiniona ama zake ama zangu
we twende bana! Ngalikihinja hana lolote yule!! we vaa sendoz twende ukubwani! kule raha tupu yani!