Je, unahitaji kujifunza kutengenzea website na mengine mengi?

Je, unahitaji kujifunza kutengenzea website na mengine mengi?

EMPTY

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
978
Reaction score
1,196
Habari Msomaji wa JUKWAA la Tech, Gadgets, & Science .
Leo katika uzi (THREAD) huu niamuwa kuwakutanisha watu ambayo wana similar Interests. Mimi nikiwa ni miongoni mwao.


Miongoni mwa WANAJF wa jukwaa letu hili, tunapenda kujifunza elimu mbalimbali ambazo kwa sababu
moja au nyengine zisoelezeka tumekosa au hatuna ujuzi nazo, LAKINI TUNATAMANI NASI KIZIJUWA.

Hapa ninawaongelea wale wenye Interests za kujifunza fani mbalimbali za komputa kama PROGRAMMING, KUTENGENEZA WEBSITES, PHOTOSHOP nk.

Hivyo, nimeona kuna umuhimu wa kugawana na wenzangu kile nikujuwacho na wao kunijuza kile ambacho sikijuwi hasa hasa katika fani ya kutengeza websites (HTML, CSS , JAVASCRIPT, PHP) n.k

BASI KAMA WEWE NI MMOJA WA HAO NILOWATAJA HAPO JUU, KUNA HIZI WEBSITES MBILI AMBAZO KIMSINGI UKIWA KWELI UNA NIA YA KUJIFUNZA, HUTOKI PATUPU.

Code Avengers: Learn to code the fun & effective way

Learn to code | Codecademy
 
Back
Top Bottom