Duh pole mkuu ila mnaweza fanya Jambo lolote kabla hamjatoana kibisa kwenye mioyo yenuSiku zote ukiwa na katoto kachangamfu raha sana..mimi wa kwangu alkua anapenda nikae nae,mama ake ni msusi sa ilikua nkipita hata kwa mbali akiniona lazma anililie mbaya..nkimbeba t anatlia,
kingne hapendi uchafu hata kdgo,mboga za majan zspokatw katwa hali cha mwisho nkchkua mpira npge dana dana nae analazmisha apige.
Ananitii kulko mama ake saut moja anaskia na anaacha katimiza miwili now 26/9...kalitembea kana miezi 9 nlifurah en am proud of him.
Nipo mbali nae ila namkumbk mwanangu japo mama ake ashaanza kunitoka rohoni..
Saaafii sana...Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume
Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,
Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia
Akichukua kitu mfano amechota maji ya kunywa akimaliza anarudisha kama alivokuta imefunikwa,
Kilichonishangaza Jana mama yake kaniita tukae tule Mimi nikawa tu Niko bize na simu numelala kitandani nasoma mtandaoni akanifuata na kunishika mkono akifanya kama kuninyanyua alivoona Niko biza akashika simu yangu na kuivuta na kuiweka pembeni ikabidi tu nimtii.
Sasa Leo pia usiku nikiwa nakula nikachukua simu nikawa nasoma habari za michezo, akachukua tena simu na kuitupa kitandani huku akisema kula,
Nimefurahishwa sana na tabia yake
πππππ€π€π€π€Wakati mwingine kama mtoto anakuwa na tabia ambayo wewe mzazi hauna, lazima kuwepo na mashaka-mashaka!
Zina mishe hatareeeee...Watoto watundu sana yani wamezidi...
Maza alikua ananilalamikia kwa utundu ila hizi ntu zimezidi zina mishe sana.....
Ngoja tuone....
CongratulationsNiseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume
Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,
Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia
Akichukua kitu mfano amechota maji ya kunywa akimaliza anarudisha kama alivokuta imefunikwa,
Kilichonishangaza Jana mama yake kaniita tukae tule Mimi nikawa tu Niko bize na simu numelala kitandani nasoma mtandaoni akanifuata na kunishika mkono akifanya kama kuninyanyua alivoona Niko biza akashika simu yangu na kuivuta na kuiweka pembeni ikabidi tu nimtii.
Sasa Leo pia usiku nikiwa nakula nikachukua simu nikawa nasoma habari za michezo, akachukua tena simu na kuitupa kitandani huku akisema kula,
Nimefurahishwa sana na tabia yake
Aina hii ndio huwa nawakubali sasa,Mimi wa kwangu ana tabia zote mbaya mbaya za kwangu na nyingine kajiongeza.
Kwa umri wake wa miaka mowili kashavunja vikombe, sahani, sijui bakiri
Kashakata waya za tv, redio na kavunja simu yangu
Kashamwaga unga na kupasua trei za mayai
Kashachana kitambulisho changu na anapenda kuwashika wanawake maziwa kawe katoto au Mwanamke mkubwa
Ila ninachompendea akiona watu wanakula ndani lazima aje kuniamsha ili nikale
Huyu ana tabia zangu zote
mkuu kuna mambo ni ngumu sana hata kuyatatua..Duh pole mkuu ila mnaweza fanya Jambo lolote kabla hamjatoana kibisa kwenye mioyo yenu
Muda wote upo busy yani....Zina mishe hatareeeee...
Acha ndio inavotakiwa..
Unakua na mtoto analeta changamoto hata wewe haukai kizembe unajua mda wowote dogo anakichafua
ππππππ€π€π€βοΈ
Alafu wewe hunaWa kwangu ni 7 siyo Haba mtoto huwa ananitwanga maswali mpaka nasema Kuna mtu kamtuma nn...ana reason vitu mpaka Kuna muda nashangaaa akili ya miaka 7 kuhoji na udadisi wa Hali ya juu ......