Je, unafahamu Wanajadi!??

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
188
Leo nimekutana na jambo jipya aiseee , kuna Imani sijui ni dini ya wanajadi, wanadai kuwa wao sio Waislam wala Sio wakristo Wala wapagani, nimeshuka na hapa Tanzania wapo wengi tu , sehemu zao za ibada wanaita LUBUNGA, na wanaitikia kwa kusema Hello Bantu!!?

Natamani kujifunza zaidi na kama umewaikutana nao na unauelewa wanachoami I naomba msaada Mimi sijaelewa yaan Nina maswali mengi sana
 
Kuna madhehebu wengi hasa kenya.
 
Kwa kusema tu HELLO BANTU wameshaharibu hawana tofauti tena na hao waliowakimbia
 
Leo nimekutana na jambo jipya aiseee , kuna Imani sijui ni dini ya wanajadi, wanadai kuwa wao sio Waislam wala Sio wakristo Wala wapagani, nimeshuka na hapa Tanzania wapo wengi tu , sehemu zao za ibada wanaita LUBUNGA, na wanaitikia kwa kusema Hello Bantu!!?

Natamani kujifunza zaidi na kama umewaikutana nao na unauelewa wanachoami I naomba msaada Mimi sijaelewa yaan Nina maswali mengi sana
Ni Hekooooo bantu na Sio hello bantu
 
Nawafahamu, nina shangazi zangu ni waumini wa jadi pia. Mikesha yao ni kutambika usiku kucha...sio wachawi ila hawatofautiani sana, wanafuraha muda wote

Wanaamini katika organic food na traditional life

Mfalme Dr. Fadhili Hamasa kijana mdogo handsome ndio anayesikilizwa kwasasa.
 
Ubaya ni kwamba ukijiunga nao tu na jina unabadilishwa sijui ni Kwa nini
 
Back
Top Bottom