Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Ahsante sana mkuu. Nafurahi kuona watu wengine wenye uelewa wa mambo haya wanachangia mada.. yes ni kweli tuna nguvu kubwa ndani yetu coz tuna uungu.
Kila kitu kinaanzia kwenye subconcious mind basi tu hatujitambui. Laiti tungejua wala dunia tusingeishi kama mashetani

Kweli kabisa mkuu, kama Biblia inavyosema ukiamini kwa imani ndogo kbs sawa na mbegu ya haradali utahamisha milima. Ukiamini na kuilazimisha subconcious mind ikufanyie kazi itavuta na kukuletea chochote unachotaka. Hatujui ndo maana tupo tulivyo, kama ulivosema laiti tungejua!!!
 
Nimeitikia wito.

Kabla sijachangia kikichoandikwa. Ila kwa minajili ya kichwa cha uzi,siamini katika MIKOSI.

Wenye kufikiria ya kuwa katika maisha kuna mikosi ni wachachefu wa elimu na wenye chembe za KISHIRIKINA.

Nakuja kuchangia yaliyoandikwa kwenye uzi sasa.
Karibu mkuu. Mchango wako muhimu
 
Umetumia nguvu kubwa sana kuelezea kitu ambacho hakieleweki,sio kwamba hamna point, la hasha. Point zipo nyingi tuu lkn umeongelea vitu vingi kwa mpigo ambavyo havina relation.

Ungekuwa kwa daktari, angekwambia una circumferential thinking.

Unforgetable
Hiyo kitu ya thinking ndio inakuaje mtu akiwa nayo?
 
Back
Top Bottom