Je unafahamu kuhusu sayari ya NIBIRU (Planet X)?

Je unafahamu kuhusu sayari ya NIBIRU (Planet X)?

We si umeambiwa itapita mwakani au 2016 au 2017 tena kwa spidi ya ajabu...yaani 'vyuup!!'
Itapita kuelekea wapi? Acheni kutishana jamaa, mumewasahau hao Nasa walitangaza mwisho wadunia 2013? Huu mwaka gani? "Viumbe wangu munapotea kwa kukosa maarifa"
 
Acheni kutishana banah! Hakuna anayejua siku ya mwisho sio NASA wala MAREKANI,, Dunia iko chini ya uongozi wa Muumba,,
 
Mmmmh jaman speed hiyo ndio tatizo ni vizuri ikiwa inakuja mdogo mdogo daaa ila habar ya jiografia bana utaogopa kuishi
 
Itapita kuelekea wapi? Acheni kutishana jamaa, mumewasahau hao Nasa walitangaza mwisho wadunia 2013? Huu mwaka gani? "Viumbe wangu munapotea kwa kukosa maarifa"
Mkuu hao unaowasema NASA hawajawahi kusema kama kuna kitu cha namna hii... hii inatokana na historia na private observatories
 
imani yako itakuweka huru, chagua leo utakae mfuatisha Mungu wako au NASA
 
Ngoja nimalizie raha kisha nikajikabidhi kwa bwana wa majeshi kwa miaka miwili nikiusikilizia upepo kama ikiendelea kuwa shwari...basi...
 
Nawaza sana maana mtoto wangu ndo kwanza ana miezi kadhaa. Mungu tuepushe
 
Back
Top Bottom