Je, unafahamu janaba?

Kwa kuongezea janaba linakuja baada ya kufanya ngono, tendo la ndoa (kwa mke wako) au kutokwa na manii uwe macho au umelala.
Janaba halimgusi muislam pekee tatizo hujui kujisafisha janaba lenyewe iwe muislam au mkristo maana hata wanaojiita waislam hawajui kuoga janaba.

Jinsi ya kuoga janaba.
Maji yawe safi, yasiingiliwe na kitu chochote maana kuna kuoga kawaida na kuoga janaba, hapa namaanisha wakati unaoga kawaida yasirukiwe na maji ya kawaida hayo yanakua yametengwa sehemu maalum.

Makopo matatu upande wa ubavu wa kulia na kushoto matatu.
Hakikisha mwili wako unaenea maji wote 'hapa wenye nywele za bandia haliwatoki'.
Kwa mwanamke hakikisha mpaka nywele zote zimepata maji na kuroana.

Ukimaliza unaweza kuoga kawaida.
Ni vyema maji ambayo unataka kuoga janaba yawe kwenye ndoo kwasababu ya kujua idadi ya makopo kama inavyotakiwa.

Hivyo ndo nnavyojua mimi labda waje wajuzi zaidi watusaidie.
 
Janaba ni hali ya mwanamme au mwanamke kutoa maji (manii) kutika tupu wake wa mbele au kujimai mume na mke, ikiwa watashusha (kutoa manii) au bila kushusha maadam zimekutana tupu zao mbili kwa kuingiliana.
 
Kwa kuongezea janaba linakuja baada ya kufanya ngono, tendo la ndoa (kwa mke wako) au kutokwa na manii uwe macho au umelala.
Janaba halimgusi muislam pekee tatizo hujui kujisafisha janaba lenyewe iwe muislam au mkristo maana hata wanaojiita waislam hawajui kuoga janaba.

Jinsi ya kuoga janaba.
Maji yawe safi, yasiingiliwe na kitu chochote maana kuna kuoga kawaida na kuoga janaba, hapa namaanisha wakati unaoga kawaida yasirukiwe na maji ya kawaida hayo yanakua yametengwa sehemu maalum.

Makopo matatu upande wa ubavu wa kulia na kushoto matatu.
Hakikisha mwili wako unaenea maji wote 'hapa wenye nywele za bandia haliwatoki'.
Kwa mwanamke hakikisha mpaka nywele zote zimepata maji na kuroana.

Ukimaliza unaweza kuoga kawaida.
Ni vyema maji ambayo unataka kuoga janaba yawe kwenye ndoo kwasababu ya kujua idadi ya makopo kama inavyotakiwa.

Hivyo ndo nnavyojua mimi labda waje wajuzi zaidi watusaidie.
Huu utaratibu umewekwa kwaajili ya jamii ya watu wenye utamaduni wa hali ya chini (waislam) watata wa kufojisha mambo. MAKOPO ndo kipimo gan? NDOO ndo kitu gani?

Mtu anayeoga bomba la mvua au kwenye Jakuzi....unamletea habari ya MAKOPO Na NDOO mtaelewana kweli?
 
Tofauti baina ya kuoga janaba na kuoga kawaida ni NIA tu, kuoga ni kule kule. Pia unaweza kuoga janaba mtoni au baharini sio lazima iwe maji ya kwenye ndoo.
 
Kwa kuongezea janaba linakuja baada ya kufanya ngono, tendo la ndoa (kwa mke wako) au kutokwa na manii uwe macho au umelala.
Janaba halimgusi muislam pekee tatizo hujui kujisafisha janaba lenyewe iwe muislam au mkristo maana hata wanaojiita waislam hawajui kuoga janaba.

Jinsi ya kuoga janaba.
Maji yawe safi, yasiingiliwe na kitu chochote maana kuna kuoga kawaida na kuoga janaba, hapa namaanisha wakati unaoga kawaida yasirukiwe na maji ya kawaida hayo yanakua yametengwa sehemu maalum.

Makopo matatu upande wa ubavu wa kulia na kushoto matatu.
Hakikisha mwili wako unaenea maji wote 'hapa wenye nywele za bandia haliwatoki'.
Kwa mwanamke hakikisha mpaka nywele zote zimepata maji na kuroana.

Ukimaliza unaweza kuoga kawaida.
Ni vyema maji ambayo unataka kuoga janaba yawe kwenye ndoo kwasababu ya kujua idadi ya makopo kama inavyotakiwa.

Hivyo ndo nnavyojua mimi labda waje wajuzi zaidi watusaidie.
Unaposema janaba unazungumzia uchafu uliowekewa utaratibu na dini ya kiislam namna ya kuusafisha.

Kwa wakristo mtu akidhachafuka iwe ni kwa kula kukagnyaga matope kifuatacho ni usafi tu.
Kwahiyo mzee ukishakula papuchi ni kuvaa nguo zako na kuroving mtaani no kuoga?
 
Unaposema janaba unazungumzia uchafu uliowekewa utaratibu na dini ya kiislam namna ya kuusafisha.

Kwa wakristo mtu akidhachafuka iwe ni kwa kula kukagnyaga matope kifuatacho ni usafi tu.
Nimekuuliza ukishakula papuchi unachofanya ni kuvaa nguo zako na kuzunguka mitaa bila kuoga?
 
Huu utaratibu umewekwa kwaajili ya jamii ya watu wenye utamaduni wa hali ya chini (waislam) watata wa kufojisha mambo. MAKOPO ndo kipimo gan? NDOO ndo kitu gani?

Mtu anayeoga bomba la mvua au kwenye Jakuzi....unamletea habari ya MAKOPO Na NDOO mtaelewana kweli?
yaani Porojo tupu mkuu.
Kipimo cha ndoo na kopo ni Kipi? Na Nani aliki-idhinisha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom