Jumanho
Member
- Sep 14, 2010
- 37
- 5
Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe unaamini kikosi hiki cha sasa cha mabingwa watetezi Uingereza kinaweza kweli kuifunga Barcelona endapo watakutana kwenye ligi ya mabingwa ulaya na kuchukua ubingwa wa Ulaya?