Je unadhani kikosi cha sasa cha Man United chaweza kuifunga Barcelona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unadhani kikosi cha sasa cha Man United chaweza kuifunga Barcelona?

Discussion in 'Sports' started by Jumanho, Sep 15, 2011.

 1. Jumanho

  Jumanho Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe unaamini kikosi hiki cha sasa cha mabingwa watetezi Uingereza kinaweza kweli kuifunga Barcelona endapo watakutana kwenye ligi ya mabingwa ulaya na kuchukua ubingwa wa Ulaya?
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  haikufaa rangi je itafaa chokaa?
  Huyo mzee anaropoka tu ili mradi afiche aibu yake.

  Alishakula 2-0 ktk fainali ya kwanza, kisha akajishaua kuongea ushuzi kama huo na tena wakakutana ktk fainali ile ya Mei 28 ambapo akiwa Wembley nyumbani akapigwa goli 3.

  Na sio tu goli 3 bali mpira waliutafuta kwa kuwasha Kalabai, Chemli, tochi mshumaa, koloboi na miale mingine lakini hakuupata.
  Na pia alicheza dakika 90 bila kupata japo kona.

  Asa leo hii anakurupuka kanga begani anataka kuleta ushambenga wake ili watu wamuone wa ukweli wakati ni ushuzi mtupu.

  Keshapigwa fainali mbili sasa atulize makalio chini aangalie ustaarabu mwingine.
   
 3. f

  fazalazakata Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ferguson anajitaftie presha za bure, fainali iliyo pita alitetemeka kwel, kikosi chao bado kusema kwel na barca wako juu kwel nikuwaombea wachezaji wao waumie lkn bado hata hivyo man utd watasumbuliwa na kina thiagoo.....
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  alimeza Kengele siku ile...hye hye hyee
   
 5. f

  fau60. Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gang chomba atakua ars-nane fan. probably.
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Barcelona? Chelsea yenyewe tu leo itakuwa taabu ndio wanawazia Barcelona.....
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bado hakijafikia uwezo huo, nimeangalia UCL last week wakicheza na Benifica ambao walijitahidi kucheza FCB style ingawa hawakuwafikia Barca lakini ilionekana ile Catalunya style ilionekana kuwashinda sana Man U kwa hiyo kwa mtizamo wangu hakijafikia hata robo tu, it will take more than 10 yrs to be like Barcelona and they should dump down the UK philosophy of football.
   
 8. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Man utd inao uwezo wa kuifunga Barca kwa kikosi cha sasa hivi: De Gea, Smalling, Evra, Jones, Vidic, Anderson/Fletcher, Cleverly, Valencia, Young, Rooney, Nani. Kama first 11 hii wote watakuwa fiti Barca inapigwa. Cha kufanya ni kuwahit faster in counter attack as they(Barca) play very cowardly squarring in they own half waiting you to go for the ball and stumbling on the deck, so Man utd can let them come to Man's third and hit them quickly, with fair officiating Man itaifunga Barca
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu m ni man U fan lakini barca ni moto mwingine yaani ni moto wa gas
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  ....
  Mie Buluda sheikh.
  Maskani mwangu ni via Turati mjini Milan.
  Mimi ni Rosonelli au il Diavolo
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! yaani mechi hizi mbili-tatu ndio zinawapa matumaini ya kuweza kuwafunga Barca ? sio nyie mlioomba Fifa wawatafutie Barca timu kutoka sayari nyingine miezi michache ilopita ?
   
 12. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,336
  Trophy Points: 280
  Acheni ndoto nyie manure na wachezaji wenu wa kuunga unga.
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ManU have a chance. Barca ni wazuri kwenye offence. Defence ya Barca kwa sasa ni mdebwedo. Kama juzi uliangalia Barca v/s AC Milan utaona hilo
   
 14. Jumanho

  Jumanho Member

  #14
  Sep 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamaa wajua kutabiri wewe, itabidi tukupe mikoba ya sheikh yahya, Man Utd Alifungwa kweli 3 - 1 na chelsea, Magoli ya chelsea yalifungwa na Chriss Smalling, Louis Nani na Wayne rooney na lile la kufutia machozi la Man Utd liliwekwa kimiani na torreeeeeeeeeesssss
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wakicheza old trafford man inashinda ila kiwanja kingine watafungwa goli moja kutokana sasa hivi nao barca wameanza kupoteza dira..hata kama wameshinda jmosi goli 8
   
 16. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama uliangalia mpira wa Jumamosi hakika maneno haya usingeyasema.
   
 17. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Haya ndio maneno mnayosema kila mara. Don't let the two games deceive you. Ukuta wa Barca ndio uleule uliosimama wakati mnapigwa pale Wembley na Rome so what makes you think this time you will be successful? You will first have to get the ball to be able to do anything.
   
 18. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  You must be a genius. It seams you know more than what Sir Ferguson knows. Saying is one thing but actually doing it is something totally different. Man U were beaten in Rome fair and square without any officiating incidents. They got a second chance but ended being humiliated at Wembley with Sir Ferguson acknowledging that he was at loss of ideas on how to play against Barca. Yaani mmeshinda game tatu za EPL ndio mnaanza kukosa adabu sio? As usual, Barca will let their football do the talking while you scheme all plans that you might think of.
   
 19. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  kama unafuatilia Barca sasa hivi haiko vizuri kifedha Threelas: Big Debt Make Barca Future Very Difficult . back to the topic; timu nyingi zimeisoma jinsi Barca inavyocheza kwa muda, tangu Guardiola achukue wamekuwa hawana different playing style nadio maana ukija na game plan nzuri ni rahisi kuwashika kama ambavyo Hercules mwaka jana na Valencia, AC milan wameweza unaweza kupitia hizi links Valencia 2-2 Barcelona: Emery gets the better of Guardiola early on, but Barca fight back | Zonal Marking Barcelona 2-2 Milan: Milan's narrowness frustrates Barca (just about) | Zonal Marking Barcelona 0-2 Hercules: Valdez beats Valdes twice to give Hercules shock victory | Zonal Marking.
  Na kuhusu ishu ya fedha Barca wamevunja utaratibu wao wa miaka zaidi ya mia kwa kuweka mdhamini wa timu jezi za wachezaji, hii inaonesha kwamba wamezidiwa na madeni waliyokopa kuendesha timu. Watu wa Catalonia wanachukulia Barca kama timu yao ya taifa hivyo vifuani hawekwi mdhaminii.
   
Loading...