Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?

Ni vizur angesema mwenyewe mtendewa japo mimi binafs naona anapata aliyoyategemea siwez mtekelezea yote lakini yale yaliyo ya muhim natekeleza kama mkewe halali kabisa.
Kweli mkuu,mapungufu huwa yapo
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,unafurahia tu ndoa kuingia doa eeh, yaani dk 0 imeshakua ndoano,akii narudi kwako tuu

karibu tena jimbo bado liko wazi.

ila ww utakuwa mgombea wa nne, muhimu ni ufanye kampeni kikamilifu na ushawishi wa hali ya juu utumike kunishawishi.
 
Wengi wanakimbilia ndoa,wakiamini watakuwa wanafanya tendo masaa 24 kwa siku...tatizo linajitokeza pale mhusika anapoamua kuwa halisia na kutaka kufanya tendo pale atakapojisikia yeye na si wewe utakavyojisikia.Hii hali imeleta migogoro mingi ndani ya wanandoa na kusababisha utafutaji wa wasaidizi.Je,unachokipata kwenye ndoa ndicho ulichokitegemea?
Marriage is an institutional, ukililijua hili hakuna papala kabsa. Sijaoa na wala sintooa ili kukidhi haja za mwili.
 
Kabisa sikutegemea ni bora ningecheza Sarakasi kwenye TRANSFORMER ya umeme na kufutika kudunia kuliko nilivyokosea kuingia kwenye NDOA.
Ha ha ha tatizo ni nini mkuu?
 
Back
Top Bottom