Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Hayo yote yanatokea kwa kuwa mwanamke ameumbwa na moyo wa huruma lakini si kwamba we are dumb. Kwenye nyanja hizo za uongozi na hizo taasisi za kutetea haki za wanawake zipo tu kwa kuwa mwanamke hakypewa nafasi tangia zamani, alinyimwa nafasi makusudi na mwanaume akapewa power hiyo. Kwa ufupi ni mentality ya mfumo dume ndo imemfikisha mwanamke hapa alipo kiasi cha kumfanya anyanyaswe kila sector. Lakini ukweli ni kwamba ukichagua mwanamke na mwanaume ukawapa fursa sawa at 0 point bila mambo mengine yoyote, mwanamke ni clever tena sana tu. Thats what i believe though.
ukinisaidia hapo tu nitakuelewa. Nani alimnyima tangia zamani, na huyo aliyemnyima mwanamke, alipewa nini na mwanume hadi akampendelea?
Hapo tu mpendwa!
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.ukinisaidia hapo tu nitakuelewa. nani alimnyima tangia zamani, na huyo aliyemnyima mwanamke, alipewa nini na mwanume hadi akampendelea?
hapo tu mpendwa!
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.
Mwanamme ofcouze,hilo si swali
Mie nina mtizamo tofauti.So many womens are crying out there kwa sababu ya kudanganywa na kutendwa na wanaume.Na ndio maana kuna vyama vingi vya kutetea haki za wanawake kuliko vya kutetea haki za wanaume.Na vitu vingi tunapenda kuonewa huruma ili tupewe nafasi,mfano katika uongozi kuna viti maalumu.Sasa huu ujanja unatoka wapi hasa?
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.
Nabisha!Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
Mpaka unafikia hatua ya kukubali kwa ridhaa yako kunyimwa nafasi na fursa at the first place si ujinga huu jamani?Tungekuwa wajanja tusingekubali kamweeeeeeeeeeeeeee.Walituzidi ujanja wakajua jinsi ya kutukandamiza.
pear jaribu kuelewa swali. Unaposema mwanaume, mwanaume ni mungu? Si nayeye ni mwanadamu kama mwanmke? Na waliumbwa sawa (kama mnavyojidanganya siku zote)
imajine mimi na wewe leo tuko level moja halafu inatokea kesho nimekuacha hatua kadhaa, unadhann nitakua nimekuacha kwa sababu"\:
-sijakuvuta twende pamoja? Au
-nimeongeza kasi na wewe ukashindwa kuhimili? Au
-ulikuwa umesinzia ndo maana uliposhtuka tyari nimekuacha? Au
-.................. Au
-...............
eeeeeeeeh uncle hukujua hilo?
kama hivyo ndivyo je kwanini biblia inatuambia takae na wake zetu kwa akili kwani ni viumbe vidhaifu.
Mwanamke ili apate sifa alizosema buji lazima apate kwa mwanaumeππ
Wawili ni wawili tu mpz mwanamke ni mbunifu but anaitaji mwanamme kumsaidia na kumtia moyo
Si kweli kwamba mtu anakubali kwa ridhaa yake kunyimwa nafasi, ila mazingira, imani, na mazoea/mila. hivi vyote kwa namna moja au nyingine vinapelekea mwanamke kuwa nyuma, na si ujinga kama unavyouita. lakini hoja inasimama pale pale hata kama ukiweka mwanaume na mwanamke wa age moja mwanamke atakuwa more clever in life realities than a man.Mpaka unafikia hatua ya kukubali kwa ridhaa yako kunyimwa nafasi na fursa at the first place si ujinga huu jamani?Tungekuwa wajanja tusingekubali kamweeeeeeeeeeeeeee.Walituzidi ujanja wakajua jinsi ya kutukandamiza.
..Charity...Kama umemuelewa bujibuji vizuri mtazamo wake zaidi umelenga maisha ya kawaida ambamo na mwanamke yumo. Mambo ya harakati ni kipande kingine katika kutafuta kuwa juu tu. Mimi napenda kukubaliana na mwenye bandiko kuwa wanawake wengi wao ni wajanja,werevu sana.na ndio maana mambo mengine anayofanya mwanamke aidha bila mwanume wake kujua hawezi kuamini siku akigundua. Wanaume wengi si wajanja kiivyo, ila tu tumejaliwa kuwa na hulka ya kutumia nguvu na vishawishi tofauti na wanawake. Sasa wale wanaouuliza kuwa ujanja wa mwanamke uko kwenye nyanja gani wanaujua ukweli...kuanzia kwenye mahusiano,madaraka,elimu,siasa...Kwa mfano wanaume wangapi wanahangaika kupima watoto DNA? (wanahisi kutendwa na wanawake wao), wanawake wangapi wamepata nyadhifa kwa uwanawake wao, wanawake/wasichana wangapi wamefaulu mitihani vyuoni kwa uwanawake wao?, wanawake wangapi ambao wako kwenye siasa kwa uwanawake wao? wanawake wangapi wanaendesha magari mjini humu kwa magari waliyonunuliwa na wanaume kwa style mbali mbali? wanawake wangapi wamejengewa majumba na kufunguliwa biashara na wanaume kwa mitindo mbali mbali na mwisho kuishia kufanyiwa maumivu???....Sisemi wanawake ni watu wa kubebwa tu ila wanaweza ku-soften mambo kwa kutumia uwanawake wao.Mie nina mtizamo tofauti.So many womens are crying out there kwa sababu ya kudanganywa na kutendwa na wanaume.Na ndio maana kuna vyama vingi vya kutetea haki za wanawake kuliko vya kutetea haki za wanaume.Na vitu vingi tunapenda kuonewa huruma ili tupewe nafasi,mfano katika uongozi kuna viti maalumu.Sasa huu ujanja unatoka wapi hasa?
My dia swali nimelielewa sana,the issue ni kwamba kama mm na ww tuko levo moja leo,mm ntakaposkia chochote cha maendeleo ntakushirikisha na kuhutaji maoni yako kwanza while ww hutanishirikisha utaenda huko na kufanya hayo bila mm,most wanaume ni very selfish,tuna mifano mingi tu dia utakuta mwanamme anajiendeleza kielimu but mkewe hamuendelezi na akiomba utaskia mm nasoma,watoto wanasoma sina pesa ya kukusomesha na ww kwa wakati huu,tumeona dia hata kwa viongozi wetu wengi,wazazi wetu etc
Jamii ni wanawake na wanaume ndio, lakini wewe hujiulizi kwa nini hadi leo mwanamke akigombea cheo kikubwa wanawake wenyewe hawampigii kura? simply because mind zao zishakuwa brainwashed na wanaume ambao ni selfish na kuwafanya wajione hawawezi.hicho kitu unacoita "jamii" ndio bado kueleweka vizuri.
njuavyo mimi jamii hujumuisha wanawake na wanaume. sasa wanawake clever walikuwemo halafu wanaume wapumbavu wakatake all powers! inaingia akilini?
fafanua vizuri ni nani huyo aliyemuonea mwanmke kiasi hicho kwa miongo yote hiyo na mwanamke akashindwa kabisa kujikomboa hadi sasa nalilia upendeleo? otherwise hajikomboi mpaka kiama!
tafadhari