PreGE2025 Je, Unabii huu utatimia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,507
Reaction score
4,697
Anadai unabii wake unaamwambia tutaingia kwenye uchaguzi na tume tofauti na ile ya zamani, na Rais Samia hajachanguliwa na Mungu kuendelea kuongoza hii nchi lakini atalazimisha maana wapambe wanampush.

Matokeo yake Mungu hatopenda, atamfanya kuwa binti (atamtoa kwenye umri wa uzee)
Your browser is not able to display this video.
 
Kumfanya kuwa binti ndo nini!?
 
Mtihani pekee wa unabii huu sio lazima uwe ni unabii wa Mungu,unabii mwingine ni unabii wa shetani!。The deviding line between unabii wa Mungu na unabii wa shetani is very thin!,kipimo pekee cha kupima ni unabii wa nani kati ya Mungu na shetani ni performance, unabii wa Mungu lazima utimie,unabii wa shetani huwa hautimii!。

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…