JE unabiashara Mwenge au Sinza

elnathan

Member
Apr 15, 2011
41
0
ndugu,
kama una biashara maeneo ya mwenge na sinza, tunakukaribisha kutangaza biashara yako kataika kijalida chetu cha matangazo kinachotolewa na Carepoint PhotoPlus studio.

biashara hizo zinaweza kuwa maduka ya nguo za kike, kiume na watoto; saluni za kike na kiume; butchery; hotel; restaurants; general shops; stationeries; bookshops; bar; maduka ya vifaa vya ujenzi; mini-supermarket; maduka ya viatu; insurance companies; bank; etc

katika msimu huu wa X'mas na mwaka mpya unaweza kutangaza kwa bei ya kuanzia 35,000 na kuendeea kutegemea na ukubwa. kijarida kitawafikia watu wasiopungua 10,000/=..
wahi nafasi yako ya kutangaza. tafadhali tuandikie nat867@gmail.com na photo24@gmail.com

karibu
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,897
2,000
Kwa hiyo kijarida hiki kinasambazwa mwenge na sinza tu?
Ina maana kama niko Moshi nna biashara siwezi tangaza?
 

Benzoic

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
421
225
Tutumie na jinsi jarida hilo linavoonekana toleo mojawapo tujue quality na size yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom